Bado natafuta mwenza wa kiume HIV +

loldiva

Senior Member
Mar 1, 2017
165
161
Nina miaka 28,muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35,awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya ndoa.
NB: Kigezo cha dini jamani ni muhimu ili kufanikisha ndoa.

Rejea :

Sent using Jamii Forums mobile app

Majukumu ya kazi
 
Kuwa HIV+ siyo "hukumu ya kifo"... huna haja ya kujitudinka kwenye mitandao...
mkuu huyu Dada ni smart japo anaweza kubezwa kwa kujianika hari yake mtandaon but stil hatujui kama anao au laa lakn kama kwel anao kwangu mm namuona mtu Makin sana kwanza kaikubali hali aliyo nayo pil hofu ya kuambukiza mtu mwingne Tatu kupata maambukizi mapya kutoka kwa watu tofaut tofauti kitu ambacho kinatuteketeza vijana wengi so to me she's hero 👍
 
Asante,
 
mkuu huyu Dada ni smart japo anaweza kubezwa kwa kujianika hari yake mtandaon but stil hatujui kama anao au laa lakn kama kwel anao kwangu mm namuona mtu Makin sana kwanza kaikubali hali aliyo nayo pil hofu ya kuambukiza mtu mwingne Tatu kupata maambukizi mapya kutoka kwa watu tofaut tofauti kitu ambacho kinatuteketeza vijana wengi so to me she's hero
Heroes don't always wear uniforms with pants outside of trousers
 
Dada akiwa mtu -ve na ni mkristo huwezi kumkubali? Maana mimi shida kubwa ni kupata uhakika wa kuchakata papuchi kila siku hayo mengine tutashauriana baadae

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ukiwa (ve-) unahisi na kuamini aliye positive ni mpumbavu ama hajielewi ila yakikufika huwezi soma tena mabezo uliyo wahi toa.

kuwa positive sio kifo, siku izi watu wanagonga 30yrs (wastani wa maisha ya mtz)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom