Bado natafuta msaidizi jamani!

Neema j swai

Senior Member
Mar 27, 2017
179
225
Ndomana hujapata mpak sahv coz mashart yako ni magumu had mkoa unachagua pole sana kama una apply Chuo jaman haloo
 

Bree ven

JF-Expert Member
Apr 11, 2013
378
500
Nimerudia uzi kwani sijafanikiwa bado kumpata wa kunipa faraja ya moyo,
Mapenzi hayakwepeki ,hata ukiapa hutopenda kwa hasira ya kutendwa huko ni kuidhulumu nafsi na kumfurahisha aliekuumiza,

Ndio maana, ntaendelea kupenda because i believe in LOVE!
Jamani wadada wenye sifa hizi tuwasiliane, seriously:

[HASHTAG]#mkristo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#msomi[/HASHTAG] kuanzia diploma
[HASHTAG]#mwenye[/HASHTAG] kazi au kajiajiri
[HASHTAG]#mrembo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#asie[/HASHTAG] na mtoto bado
[HASHTAG]#age[/HASHTAG] below 30
[HASHTAG]#mostly[/HASHTAG] awe near dar or at dar,
Njoo pm ujue na upande wangu nipoje,
I have all the characters uv just mentioned.. Except I'm almost 30..and I need a very active man who is interested in sports & exercises
 

tryphone005

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
459
500
Ndomana hujapata mpak sahv coz mashart yako ni magumu had mkoa unachagua pole sana kama una apply Chuo jaman haloo
Usijali neema, kuna muda unamuona mtu alafu unasahau masharti yako mwenyewe, kuna wadada wana neema mbalimbali kama jina lako,
Mengine ya mkoa ni makubaliano tu, si unajua mwisho wa siku lazima muwe pamoja,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom