Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,698
- 8,843
Kwanini mbili? Na anapaswa kuvunja baraza lote, aunde lake akihirikiana na pm atakaye mchagua.Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dkt. Nchimbi na Mwigulu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.
Bado kuna nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM iko wazi.
Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa Fedha.
Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana.
Maendeleo hayana vyama!