Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,912
Semeni ukweli tu huyu mh. ni mzalendo kwa taifa au ni mzalendo kwa chama chake?
Hivi uzalendo ni kutumia Jeshi kulinda amani/kudhibiti wapinzani au uzalendo ni kutumia nafasi yako kama kiongozi kutatua mizozo na kuondoa mivutano(tension)?
Kuna taarifa za serikali kupeleka askari huko Zanzibar amabazo mimi binasfi sijui kama ni za kweli au laa ilala kama ni za kweli,basi tujiulize swali hili hapa chini;
Unabana matumizi lakini wakati huo huo uko tayari kupeleka askari na wakawa stationed maha li kwa muda wa wiki kadhaa kwa gharama ya mlipa kodi masikini wa nchi hii.Je,huko ndio kubana matumizi kweli?
Nawashauri wapinzani bunge likianza mumuulize waziri wa ulinzi ni kiasi gani cha fedha kimetumika kuweka askari huko visiwani na watueleze uhalali au ulazima wa kupeleka aska hao huko Zanzibar.
Mpaka leo hii Raisi Mstaafu wa Marekani,George W. Bush na aliekuwa mshirika wake, Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza,bwana Tony Blair, wameshindwa kutetea nguvu kubwa za kijeshi walizotumia huko Iraq kwa kisingizio cha kumtoa Saadm madarakani kwasababu eti utawala wake ulikuwa unatengeneza silaha za maangamizi na nyie teulezeeni /teteeni uamuzi wenu huu wa kupeleka askari huko Zanzibar kama ulikuwa ni wa lazima kwa kiwango hicho.