Bado Messi Anasimama Kuwa Mchezaji Bora Zaidi Duniani Kwa Sasa

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Kwa aliyebahatika kutazama game ya barca na Spurs atakuwa shahidi,
Sijui ni vipi fifa wanapanga vigezo kumpata mchezaji bora
Nimemuangalia Luka Modric Ktk game mbili ambazo zote Real Madrid kupoteza nimeshindwa kabisa pata jawabu. Hivi kweli mchezaji bora hata. Mwezi haujatimia tangu atangazwe kuwa ni bora eti anatolewa dakika ya 70 na Timu ipo nyuma kwa magoli?
Juzi kwenye Uefa Modric anaanzia sub?
Kweli huyu Modric alibebwa na Timu lakini yeye kama yeye.. Mh hapana
Bado La Pulga atawaburuza saana View attachment 886023View attachment 886024
 
me nadhani nia ya mtoa mada ni kutaka kuona mchezaji bora wa dunia awe anacheza pekee yake dhidi ya timu mpinzani iliyotimia wote 11.
au basi tuseme ukiwa mchezaji bora wa dunia, kocha wako hana uwezo wa kukufundisha tena.
 
Si hivyo mbaga Jr, inapendeza mchezaji bora aonyeshe umahiri wake uwanjani!
 
Mchezaji bora wa club ile ile moja tu,kwa kigezo hicho mimi kwangu ubora wake ni hadi akafanye mambo kwingineko mbali na alipokulia,hoja hii mashabiki wake huyu nesi huwa mishipa ya shingo inawatoka sana kumtetea ila kiukweli kwangu mm hata afanyeje bila kutoka kwangu sioni ubora wake,ova
 
Kwa aliyebahatika kutazama game ya barca na Spurs atakuwa shahidi,
Sijui ni vipi fifa wanapanga vigezo kumpata mchezaji bora
Nimemuangalia Luka Modric Ktk game mbili ambazo zote Real Madrid kupoteza nimeshindwa kabisa pata jawabu. Hivi kweli mchezaji bora hata. Mwezi haujatimia tangu atangazwe kuwa ni bora eti anatolewa dakika ya 70 na Timu ipo nyuma kwa magoli?
Juzi kwenye Uefa Modric anaanzia sub?
Kweli huyu Modric alibebwa na Timu lakini yeye kama yeye.. Mh hapana
Bado La Pulga atawaburuza saana View attachment 886023View attachment 886024
CRISTIANO RONALDO NDO BABA YAO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom