JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Nilikuwa naangalia jinsi Land Rover Range Rover Velar inavyotengenezwa, nikajiuliza hivi baada ya miaka miwili mitatu Tanzania itakuwa na mafundi magari kweli? Sisi wakati tukikua wale vijana hopeless ambao kama anaweza kusoma basi anaandika kama bata ndio walikuwa wanapelekwa gerejini ili wajifunze ufundi magari.
Miaka imebadirika sana, teknolojia ya magari imekua kubwa. Darasa la saba asiye na formal training si mtu sahihi kumpa gari yako ya kisasa atengeneze. Tunahitaji kuwa na vyuo sahihi vinavyotoa mafunzo sahihi kwa mafundi magari.
Ufundi magari sio kuvaa minguo iliyotapakaa mafuta. BTW watu waliosoma electrical and mechanical engineering nadhani hii ni nafasi muhimu sana kwao kutengeneza pesa.