Bado hatujachelewa: we can do somthing here. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado hatujachelewa: we can do somthing here.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mu-sir, Jan 2, 2011.

 1. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Wakuu, wote tumesikia na au kuona kile Jk anachotaka kuunda tume nyingine chini ya ikulu ili kushughulikia suala la katiba mpya kitu ambacho ni kiini macho kwani katiba hiyo itakuwa ya manufaa ya wachache huenda hata tukajuta na kulilia hii tunayoikataa sasa. So what can we do ili iundwe tume huru chini ya bunge? Maoni yangu: 1) kwa kuwa Mbunge wa ubungo mh. John Mnyika ana mpango wa kupeleka hoja binafsi bungeni juu ya katiba mpya basi yeye na wabunge wazalendo wajumuishe na hili la tume huru ya bunge katika hoja zao ili serikali ishinikizwe na bunge kufanya hivyo. 2) Sisi wananchi wengine ikibidi tuandamane ili kuhakikisha mkuu wa kaya anafanya matakwa yetu. Otherwise we are doing nothing at all. Nafungua mjadala kwa kuwasilisha hoja.
   
Loading...