Bado Duniani watu wengi wanajua Mt. Kilimanjaro ipo Kenya!!, Kwanini!! na Tatizo lipo wapi!!

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Habari members, Nipo nchini South Africa mahali nimekutana na watu mbalimbali kutoka nchi tofauti tofauti za Dunia, katika mazungumzo ya hapa na pale nimegundua watu wanajua mt. kilimanjaro ipo Kenya. Nilibaki nashangaa sana ikabidi nipate kazi ya kuwaeleza vizuri kwamba upo Tanzania, nashukuru bahati kulikuwepo na mKenya pale ambaye naye alinisaidia kusema huo ukweli na katika maelezo huyo mKenya amesema hata mt. Kenya kilele chake kipo Tanzania. nikabaki nashangaa!!!

Sasa jamani tatizo lipo wapi kwenye hili, nani anyooshewe kidole!!, Nini Mungu atupe zaidi watanzania kuondokana na huu umasikini!!, na sasa tunapoingia kwenye hii jumuiya ya EAC si ndio tutazimwa kabisa!!.

Nawasilisha.
 
Tatizo ni matangazo sisi Watanzania tuna matatizo katika kuyatengeneza matangazo mazuri kwetu sisi tangazo bila wimbo halijaeleweka na angalia matangazo yetu huwa na neno ".................ni KIBOKO ya vyote"
Ukienda pale Airport Julius Nyerere International Airport sehemu ya abiria kusubiri safari zao kuna duka moja la muhindi kaweka picha kubwa ya Mlima Kilimanjaro lakini hakuna taarifa rasmi za kuunadi milima ule kuwa uko Tanzania. Mimi Bubu Msema Ovyo ninaomba Mlima Kilimanjaro utangazwe hivi "MT KILIMANJARO -PRIDE OF TANZANIA" nadhani itatoa highlight kuwa alaaaa kumbe ni mali ya Tanzania.
 
Ni kwasababu duniani hakuna watanzania.

Hahaahahah.., hata kama umeongea hili kimzaha.., lakini kuna ukweli kwenye hilo. Labda tukuombe ufafanue zaidi.
 
matangazo tu wakenya wametuzidi ktk hilo, ila watalii wakishafika kenya ndio huwa wanajuta kwani wengi wanaishia kulipishwa mara 2 wanapoingia tanzania kuupanda,wajanja wanakuja tanzania moja kwa moja baada ya kuserach kwenye internet,wanaojua upo kenya ni wale ambao wanakuja bila kusoma kwanza ktk net.hata serengeti wanasema ipo kenya,come to kenya visit serengeti au see mt kilimanjaro via kenya. ILA SIJAONA WAKISEMA UKO KWAO,KWA MTALII ZUZU ataelewa upo kenya.
 
Ni kwel mkuu, mm nipo ulaya lakini watu wanashangaa kuckia nawaambia kilimanjaro ipo Tz, wao wanajua ipo kenya!!! sisi tumelala mkuu kenya wanachangamkia kuitangaza kilimanjaro sana japo ni sehemu ndogo ya mlima ipo kwao.... wizara yetu inayohusika imelala, hamna promotion ya mlima huu nje
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom