DASA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 1,031
- 301
Habari members, Nipo nchini South Africa mahali nimekutana na watu mbalimbali kutoka nchi tofauti tofauti za Dunia, katika mazungumzo ya hapa na pale nimegundua watu wanajua mt. kilimanjaro ipo Kenya. Nilibaki nashangaa sana ikabidi nipate kazi ya kuwaeleza vizuri kwamba upo Tanzania, nashukuru bahati kulikuwepo na mKenya pale ambaye naye alinisaidia kusema huo ukweli na katika maelezo huyo mKenya amesema hata mt. Kenya kilele chake kipo Tanzania. nikabaki nashangaa!!!
Sasa jamani tatizo lipo wapi kwenye hili, nani anyooshewe kidole!!, Nini Mungu atupe zaidi watanzania kuondokana na huu umasikini!!, na sasa tunapoingia kwenye hii jumuiya ya EAC si ndio tutazimwa kabisa!!.
Nawasilisha.