Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,797
- 71,215
Kubishana na jitu zuzu litakupandisha hasira bure! Kama mtu anaweza kusema hadharani kuwa mwendazake alikuwa mtu bora unahaja gani ya kuendelea naye majadiliano wakati kajitangaza yeye mwenyewe kuwa ni mpuuzi na mshabiki maandazi?stupid aliyekuzaa, na akili zako fupi. Mfuate Jiwe kwenye kaburi shenzi mkubwa. Siwezi kusoma mavi uharo uliyoandika
Hivi hawaoni jinsi hata aliyekuwa makamu wake anavyo m preempty hata siku 60 hazijapita? Bado kidogo tuu atasimama jukwaani ataita baadhi ya mambo yalikuwa ujinga