Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Vijana wafia chadema nawasalimu tu,
Afu kwa nini kina alhaji siku hizi hawaandaumehamia ccm?mani kwenda ikulu kama kipindi ya Jk?
AiseeAlipo tupo sana
Vijana wafia chadema nawasalimu tu,
Afu kwa nini kina alhaji siku hizi hawaandamani kwenda ikulu kama kipindi ya Jk?
Tuko busy Na kukamata wanaopost picha za kumfedhehesha papaa mukulu kwa kuonyesha majengo mapya yakiwa yamechakaa