Bado 73cm tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado 73cm tu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Jul 20, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bwawa la mtera kwa sasa lina kina cha mita 690.73 na the extreme minimum level kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya bwawa hilo ni mita 690.0.Kwa hiyo ndugu zangu waTZ,zimebakia 73cm tu za kina cha maji kifaacho kuendesha hii mitambo,chini ya hapo mitambo itaenda likizo.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ni upuuzi baada ya miaka 50 ya uhuru taifa kama tanzania bado linachungulia mtera kujua kama taa zitawaka na umeme utakuwepo au la

  Mbona sijawahi kusikia "zimebaki VXV8 saba tu zinazotembea

  shenz! type wahusika wote
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hii nchi inamuhitaji mtu mwenye mikakati kama Lowasa. Tukumbuke Lowasa ilifikia stage ya kutaka kutengeneza artificial rain ili ijaze mabwawa yetu! Lowasa is strong leader, ni mtendaji wa kweli.
  He deserves to be our next president.
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Shame upon the president and his allies, ni kiongozi gani ambaye anavumilia kuona watendaji wake wakionesha matatizo waliyonayo tu na hawaoneshi mapendkezo ya kutatua ama kuzuia matatizo yasitokee?!.
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  kweli inasikitisha sana!hatujawahi sikia kiongozi hajasafiri hakuna pesa au usafiri!
   
Loading...