Badilisha muonekano wa gari lako kwa bei nafuu

mabwiku

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
447
390
Habari wanajamvi,

Kama nilivosema apo juu,waweza kubadili mwonekano wa gari kwa bei nafuu na kwa style yoyote unayotaka, na shape yoyote utakayo, ni garage yetu kwa sasa tumejaribu soko kwa Uganda na tunafanya vizuri, hivyo ukihitaji huduma hiyo tuwasiliane naweza kukusaidia napia, tunatengeneza body kit ya aina yoyote na style yoyote ili kuipa mwonekano mzuri wa gari lako. Kama picha zilivo apo chini na kama upo mbali na mkoa wa Kagera unaweza kutuma ditalz za gari yako na tukakutengenezea style yoyote na nikakutumia popote Tanzania

Kwa mawasiliano zaidi 0756664797,call or text whatsap.
435e7049b3b9c355054fa970e2bcf689.jpg
2ce15f6c676975e773a0958bc9cffe11.jpg
08837cb3241ae66e9cf778d26779a185.jpg
ce1a5014bbb9bd576e677c01d6a69e51.jpg
 

Attachments

  • 1464169373738.jpg
    1464169373738.jpg
    78.2 KB · Views: 246
  • 1464169386907.jpg
    1464169386907.jpg
    70.5 KB · Views: 236
  • 1464169392716.jpg
    1464169392716.jpg
    78.2 KB · Views: 186
  • 1464169411481.jpg
    1464169411481.jpg
    78.3 KB · Views: 180
  • 1464169423866.jpg
    1464169423866.jpg
    77.6 KB · Views: 215
Habari wanajanvi,kama nilivosema apo juu,waweza kubadili mwonekano wa gari kwa bei nafuu na kwa style yoyote unayotaka,na shape yoyote utakayo,,ni garage yetu kwa sasa tumejaribu soko kwa uganda na tunafanya vizuri,ivyo ukihitaji huduma hiyo tuwasiliane naweza kukusaidia napia,tunatengeneza body kit ya aina yoyote na style yoyote ili kuipa mwonekano mzuri wa gari lako.kama picha zilivo apo chini,,,na kama upo mbali na mkoa wa kagera unaweza kutuma ditalz za gari yako na tukakutengenezea style yoyote na nikakutumia popote tanzania,,kwa mawasiliano zaidi 0756664797,call or text whatsap.
435e7049b3b9c355054fa970e2bcf689.jpg
2ce15f6c676975e773a0958bc9cffe11.jpg
08837cb3241ae66e9cf778d26779a185.jpg
ce1a5014bbb9bd576e677c01d6a69e51.jpg
Mkuu naona kama sio tanzania hapo kwenye picha zako ikawa nako si ulaya pia
 
NYIE MUMEKUJA WAKATI MUAFAKA KABISAAAAA...NILIKUWA NAJIULIZA "XZIBIT NA PIMP MY RIDE " LINI WATAKUJA TANZANIA NAONA MUMEAMUA KUMUWAHI....JE NA NDANI MUNAPABADILISHA AU NI KUONGEZEA HIYO MI-FENDER MBELE NA NYUMA TUU?

PIA NAOMBA BEI ELEKEZI YA KU-PIMP KIJI-ESCUDO JANGU CHA MILANGO MITATU...TAFADHALI NITUMIE IDEA ZAKO PM NA BEI ILI NIONE KAMA KUNA HAJA YA KU-PIMP MY RIDE AU NINUNUE MPYA NIACHENE NA KIPENZI CHANGU.
 
mpo vizuri hata zile za USA walianza hivyo hivyo wengi walisema wanaharibu lakini leo imekua ni fashion huko...mpo vizuri keep it up hata watengenezaji magari walianza hivyo hivyo...
 
Kazi mnaimudu ila tu kilichobaki ni kupata michoro mizuri yenye kuleta mvuto zaidi na kupangilia rangi vizuri
 
Umeharibu hayo magari afadhali wenzenu wengine wana upgrade kutokana Na miaka kama Lexus ya 2008 wana upgrade to 2016 au vx200 ya zamani kuja 2016 siyo nyinyi mnaharibu ata hiyo Lexus mmeharibu kabisa ukweli ndio huo japo machungu
 
Back
Top Bottom