Badili sentensi hii kutoka umoja kwenda wingi 'Kaka yangu ana mke'

"Kaka zangu wana wake "
Ni tofauti na ukisema
"Kaka zangu wanawake "
Nadhani hii ndo inayopotoshwa kimantiki na utofauti wa kauli hizi unatofautiana kwa namna ya uandishi wake yaani pale utakapotenganisha neno "wanawake" na neno "wana wake "
Hapo ndipo tofauti ilipo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom