mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,208
- 1,755
Ni ngumu kuepuka color wheel kwani ni rahisi kutumia katika kufanikisha kazi mbalimbali pale tunapokuwa tuna design au tunadevelop wavuti n.k.
Kwa wasiojua color wheel ni box au circle linalo kuwa na rangi mbalimbali wewe unakuwa unazungusha mouse yako kuweza kupata rangi husika.
Mfano kwa web developer ukiwa kwenye advanced text editor au ide basi hiki kitu si mara ya kwanza kusikia lakini pia kwenye browser mbalimbali upatikana unapo inspect element kisha ukarukia kwenye css file kisha kwenye property ya color.
Kwa graphics designer wakiwemo vfx designer n.k software zote zina color wheel kwa hiyo si kitu kigumu kwenu.
Kama nilivyosema ni ngumu kuwarudisha nyuma yaani bila color wheel ni ngumu kupata rangi kidigital kwani huwezi kariri code za color zote labda basic color code.
Hapa ninakuonyesha namna ya kubadili rgb color kwendakwenye format ya hex code yaani jinsi color wheel inavyo convert rgb color kwenda kwenye mfumo wa hex.
Mfano wa rgb color:
Color: rgb(94,156,165); hii ni color uliyo nayo kama rgb format
Vipi inakuwaje katika format ya hex:
Note:
Hex color ni color zinazo kuwa na mchanganyiko wa herufi na namba zikiwa 6 kwa ujumla na zikianza na #.
Mfano: #cc2cab.
Tunaposema hex ni kifupi cha hexadecimal yaani number zenye base 16.
Kwa hiyo tunatengeneza table ifuatayo ya hex kisha namba za kawaida ili kufanya mfanano yaani comparison
Kumbuka kuwa hii function ya rgb(); hubeba number zinazo anzia 0 mpaka 255 kwa hiyo usije weka zaidi ya hapo mfano color: rgb(-1,356,265); hii haipo.
Bali unaweza anza na color: rgb(0,0,0); mpaka color: rgb (255,255,255); ila sio zaidi.
Twende sasa
0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 A B C D E F} hii ni hex yenyewe
0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15} hii ni jumla ya hex
Mfano tuna rgb color :rgb(94,156,165);
Convert to hex:
Hatua ya kwanza chukua namba ya kwanza gawa kwa 16 yaani base ya hex kisha kinachobaki utakiongeza kama namba iliyosalia na kama hakuna kilichobaki tunaweka zero.
Kanuni: namba = (16 x n) + r
ambapo n= namba ambayo ukizidisha kwa 16 yaani base ya hex inakaribia namba halisi au yenyewe kwenye rgb function.
R = namba iliyobakia(reminder)
Cheki tuna 94;
Tunakumbuka,namba = (16 x n) + r,
94 = (16 x 5) +14
Then kumbe ukichukua (16 x 5) +14 unapata 94
Chukua 5 na 14 kazilinganishe kwenye mchoro wa kwanza
Utakuta 5 inaendana na 5, na ile 14 ni sawa na E
Kumbe 94 = 5E
Vipi kuhusu
156 =(16 x 9)+12
Chukua 9 na 12 kalinganishe kwenye mchoro wa kwanza
9 inaendana na 9 na 12 inaendana na C.
Kumbe 156 = 9C
Vipi kuhusu
165 = (16 x 10) + 5
Chukua 10 na 5 kalinganishe kwenye mchoro wa kwanza.
10 inaendana na A, na 5 inaendana na 5.
Kumbe 165 = A5
Kwa kukamilisha kumbe rgb(94, 156, 165) = #5E9CA5.
Mfano wa color wheel kwenye bracket text editor
Si kweli kuwa tunaweza fanyakwa njia hii kazini, bali tutatumia rhb color wheel kuharakisha mambo.