Badili password ya lap/desk-top ya rafki yako bila kujua ya zamani

Mkali Tricks

JF-Expert Member
Aug 18, 2017
488
310
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH

Na'am, In shaa Allaah Leo Tutaelekezana JINSI YA KUBADILI PASSWORD YA LAP/DESK-TOP YA RAFIKI YAKO BILA KUJUA YA ZAMANI.

NB: HII NI KWA AJILI YA KUJIFUNZA TU, KWANI ITAWEZA KUWA SABABU YA MSAADA KWAKO PIA ENDAPO UTAKUWA UMESAHAU PASSWORD YA LAP/DESK-TOP YAKO.

NIKO MBALI NA ATAKAYE ITUMIA KWA MAOVU

MAHITAJI
1.Lap/Desk-Top Ya Rafiki Yako
2.Awe Amesha-Log In Kwa Kuingiza PASSWORD yake.

HATUA
1.Right Click THIS PC / MY COMPUTER
2. Bofya MANAGE
3.Double Click LOCAL USERS AND GROUP
4. Double Click USERS
5. Chagua ACCOUNT unayotaka Kubadili PASSWORD Bila Kujua Ya Mwanzo
6.Bofya SET PASSWORD
7.Bofya PROCEED
8. Ingiza Na Ku-confirm NEW PASSWORD Ambayo Unataka Uweke.
9.Bofya OK > OK

MPAKA HAPO UTAKUWA UMEBADILI PASSWORD YA LAP/DESK-TOP BILA KUJUA PASSWORD YA MWANZO

UNAWEZA UKACHEKI VIDEO HII KWA MENGI ZAIDI

Hapa unafundisha uhalifu tu na wala hamna kingine.

Ila nawaonya watu wote ambao bado wananunuwa electronic stolen items wanajitafutia matatizo makubwa ipo siku.

Ogopa sana teknolojia wewe unajuwa hili wenzako wanajuwa lile.

Unakamatwa na laptop umenunuwa laki 3 lakini kwenye uhalifu ulikotendeka mali zaidi ya Billion tano ziliibwa hapo ndio utajuwa unaposikia watu wakisema pambana na hali yako.

Maana yake ni kwamba kesi yote ya billioni 3 utaijibu wewe.
 
Uzi Unakusudia Kheri, Na Si Shari. Mfano Mtu Kasahau Password Yake, Anaweza Kutumia Trick Hii Ili Kunusuru Lap/Desk-Top Yake
 
Hapa unafundisha uhalifu tu na wala hamna kingine.

Ila nawaonya watu wote ambao bado wananunuwa electronic stolen items wanajitafutia matatizo makubwa ipo siku.

Ogopa sana teknolojia wewe unajuwa hili wenzako wanajuwa lile.

Unakamatwa na laptop umenunuwa laki 3 lakini kwenye uhalifu ulikotendeka mali zaidi ya Billion tano ziliibwa hapo ndio utajuwa unaposikia watu wakisema pambana na hali yako.

Maana yake ni kwamba kesi yote ya billioni 3 utaijibu wewe.
Basi hapo mwenyew unafkiri kwa ujumbe wako tukuone ni mtu safi kabisa

Mwenzio kashasema yuko mbali na uovu

Kwa mfano mm nshawah muazima mzi pc yang sasa katika kuichezea akaitia pasword halaf akawa hakumbuki alichokiweka

Hizi mbinu za kureset zilinisaidia sana bila hivyo nngebaki na limac langu
 
Ahsante Kwa Kuongezea. Bora Angekuwa Amei-judge TITLE Niliyoitumia, Hapo Angekuwa Amenifanyia Uadilifu.
 
Mkali endelea kutuletea nondo bhana achana na maneno ya watu wee weka mziki tu.

Unajua mwanzo nlikuwa sikuelewi elewi niliona kama unazingua zingua hivi. Ila asa hivi kidogo naanza kukuelewa.

Acha maneno weka mziki mkuu. Safi.
 
Hainaga Shida Brother Kaka
 
Hapa unafundisha uhalifu tu na wala hamna kingine.

Ila nawaonya watu wote ambao bado wananunuwa electronic stolen items wanajitafutia matatizo makubwa ipo siku.

Ogopa sana teknolojia wewe unajuwa hili wenzako wanajuwa lile.

Unakamatwa na laptop umenunuwa laki 3 lakini kwenye uhalifu ulikotendeka mali zaidi ya Billion tano ziliibwa hapo ndio utajuwa unaposikia watu wakisema pambana na hali yako.

Maana yake ni kwamba kesi yote ya billioni 3 utaijibu wewe.
sio hivyo ndugu faham watu hujifunza ethical hacking ili wawez kujikinga na crackers. na utaona akhy ameweka bayana kuwa lengo la kutoa elim hii kwa lengo zuri mtu atakaye kengeuka ni kwa nafs yak
 
MKUU vipi sasa ikiwa off na ukiiwasha inadai password namimi nimesahau nawezaje kubadili bila kupiga chini window??
 
This is fucking bull shiit...
Mie nikajua unaweza badili ukikuta Computer iko locked...
Kumbe ni mpaka ukute mtu asha login...
Hamna kitu hapa.. Pumba tu.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Huu uzi umekusudia kuleta maovu na si mema. Japo mtoa mada anasema hausiki na uovu utako tokea.

Kwanza angalia jina la uzi. Badili psword ya laptop or desk top ya rafik ako bila kujua.

Kwa hapo tuu huu uzi umekaa kumkomoa mtu.

Pili kasema hii trick itakusaidia ww unapokua umesahay pasword ya laptop yako au computer yako ila hajazingatia maelezo aliyo yatoa

Jamaa katika requirements kasema inahitajika hiyo pc mtu awe amesha log in then ndo aende kweny my/ This computer then manage na kuendelea mbele.

Sasa kama huu uzi umekulenga ww mwenye pc inakuwaje pc yako uwe umelog in mwenywe then ukachange password as if password yako ya zamani umeisahau

Hapo napata wasiwasi na jamaaaa
 
Mkuu Mimi Nina desktop yangu Jana nimejaribu kuiwasha lakini shida pale kwenye screen hai display anything nini shida au naweza kusolve vipi hili tatizo?
 
Back
Top Bottom