Hakuna anayebisha kwa hilo maana US uwa gharama za kuunda vitu vyake siku zote ziko mara 20 zaidi ya nchi nyingine.BADGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
Kichapo cha kule vietnam kilikuwa kitakatifu kabisa. Hadi akatengeneza maandamano nyumbani apate sababu ya kuitoa jeshi 😀😀.Cha ajabu ina history ya kupigwa na vitaifa vyenye bajeti ndogo ndogo
Gharama kubwa ya kuendesha Bases zaidi ya 200 duniani.Hakuna anayebisha kwa hilo maana US uwa gharama za kuunda vitu vyake siku zote ziko mara 20 zaidi ya nchi nyingine.
Ashaanza kula matunda ya vita ufaransa anataka wamuuze kamikaze drones za US zinaitwa sijui nini blades.
Yani vita ya Ukraine ni show off ya silaha maana hizo drones kazitumia Afghanistan ila hazikuwahi kupata umaarufu zmeupata kwenye vita hii nako katumia blade 300 sasa mfaransa nataka blade 600
Na bado ananunua silaha kwa makampuni ya kinyonyajiGharama kubwa ya kuendesha Bases zaidi ya 200 duniani.
Malipo makubwa ya mishahara
Contractors kibao
Utafiti
Ndo mbinu yao ya kukimbia vitaKichapo cha kule vietnam kilikuwa kitakatifu kabisa. Hadi akatengeneza maandamano nyumbani apate sababu ya kuitoa jeshi 😀😀.
umenikumbusha wale wasomali pale mogadishu ile siku walipodondosha chopper ya jeshi la marekani halafu wakawachomoa maaskari na kuwaburuza mtaani huku wakiwa hai.Cha ajabu ina history ya kupigwa na vitaifa vyenye bajeti ndogo ndogo
Aisee kile kipigo kilikuwa kitakatifu na majedhi yote duniani yalijifunza kitu kuhusu uvamizi wa vile. Hata waingereza wakati wanataka kuokoa wanajeshi wao kule sijui liberia sijui sierra leone walikumbuka hili tukio ikabidi waandae backupumenikumbusha wale wasomali pale mogadishu ile siku walipodondosha chopper ya jeshi la marekani halafu wakawachomoa maaskari na kuwaburuza mtaani huku wakiwa hai.
mmarekani kila akikumbuka hilo tukio anapata nightmares na kuogopa kukanyaga somalia mpaka leo.
Switchblade kamikaze drones US wanazitumia kwa miaka zaidi ya kumi na hawajahi kupiga kelele. Hiyo kampuni ya AeroViroment ambayo hata siyo ya zamani, serikali ya Marekani ilipotoa msaada wa hizo munitions ndio Ufaransa ikakubali kazi yake na sasa wako na uwezekano wa kununua.Hakuna anayebisha kwa hilo maana US uwa gharama za kuunda vitu vyake siku zote ziko mara 20 zaidi ya nchi nyingine.
Ashaanza kula matunda ya vita ufaransa anataka wamuuze kamikaze drones za US zinaitwa sijui nini blades.
Yani vita ya Ukraine ni show off ya silaha maana hizo drones kazitumia Afghanistan ila hazikuwahi kupata umaarufu zmeupata kwenye vita hii nako katumia blade 300 sasa mfaransa nataka blade 600
Ww unafikiri majasusi ya Kremlin lazima yafate budget!! hiyo ni siri yao wanaweza wakaweka figa kidogo lkn underground wanafanya mambo makubwa sanaBADGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
Haha haha tena sana bajeti kubwa kawashindwa wanamgambo wa TalebanCha ajabu ina history ya kupigwa na vitaifa vyenye bajeti ndogo ndogo
Ile vita ni showcase ya silaha, ndio maana mziki wake umekubalika pale so ufaransa inasubiri tu serikali iipe go ahead kampuni kuiuzia ufaransa maana ambaye alishapewa kibali ni mwingereza.Switchblade kamikaze drones US wanazitumia kwa miaka zaidi ya kumi na hawajahi kupiga kelele. Hiyo kampuni ya AeroViroment ambayo hata siyo ya zamani, serikali ya Marekani ilipotoa msaada wa hizo munitions ndio Ufaransa ikakubali kazi yake na sasa wako na uwezekano wa kununua.
Hiyo sio show off, pale ni demand imeonekana. Mbona Marekani imeagiza advanced amphibious combat vehicles kutoka BAE Systems kampuni ya Uingereza wakati kwake anayo makampuni kibao, mbona ananunua heavy trucks za Iveco ya Italy. Watu wanaangalia performance