Badala ya kupeleka maendeleo Pemba.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Badala ya kupeleka maendeleo Pemba....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Aug 23, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  waheshimiwa wameamua kujenga gjhorofa Unguja kwa kutumia BILIONI 20

  litaukwa linaitwa GHOROFA LA MUUNGANO

  as if wakishalijenga hilo ghorofa Zanzibar watayaachia hayo mafuta

  wao hawautaki muungano, be if CUF au CCM, deep down they have one thing in common: HAWAUTAKI MUUNGANO na bara ndio wanaoungangania, sasa badala ya kufanya mambo ya maendeleo kule kwenye kisiwa kilibaki kwenye karne ya 2 wameamua kujenga GHOROFA/JENGO la BILIONI 20

  Says alot about where priorities zao WATAWALA watawala zilipo...Pemba unemployment inatisha lakini hilo waheshimiwa hawalioni

  I wonder hii tenda ya kujenga kama SHADYA KARUME keshachukua au bado, maana yule na familia yake kila tenda na kila open space yao..inluding hiyo ya kujenga JENGO LA MUUNGANO!


  Hivi kuna mtu anaweza kunipa breakdown mambo mangapi yanaweza kufanyika Pemba na hizo bilioni 20?

  source:daily news la jana jumamosi: SINA LINK
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Aug 23, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,745
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  ..bora ungewahimiza Wapemba wenyewe wakumbuke kwao kwa kupeleka maendeleo.

  ..nimesoma habari kwamba Rashidi Kawawa kachangia milioni 21 kwa ajili ya ujenzi wa shule Liwale.

  ..Salim Salim na mapesa yake yote hakuna alichofanya Pemba.
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Serikali ya vipofu hii utashangaa mengi tu, kama bado unashangaa nguvu za CC na NEC zinavyofunika Bunge, subiri 2010 hata roho za watu zitapotea eeh!
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  cha ajabu hakuna nayelalamika kuhusus hizi bilioni 20 zinavyotumika vibaya

  halafu mnapiga vita ufisadi!

  Nadhani ingekuwa bora wakawin hearts and minds za waPemba kwa kupeleka massive government projects kule in the end kila mmoja angekuwa ana kazi na at least CCM wangepata baadhi ya majimbo sasa by the look of things inaelekea CCM wanaiona Pemba as a lost cause na hii itastretch resources za serikali maradufu ili kuiweka in the line na wengine...kuanzia ulinzi na usalama mpaka hiyo political price kule visiwani

  Au ndio ishaingia mentality ya why care wakati wenyewe wanataka kujitenga?  haya endeleeni
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Vizuri, Zenj inahitaji vikwangua anga vingi tu (Hao wapemba wanaweza kupata ajila wakati wote wa ujenzi huo)
   
 6. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  duh! kazi kweli kweli
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Wanainchi kule Pemba kwani waliulizwa wanataka hilo jengo la bilion 20??

  Heri hizo 20 Billioni zingefungua kule Chuo Kikuu au basi hata kufungua Campus ya Dodoma University kule!
   
 8. M

  Mwakilishi JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2009
  Joined: Jan 31, 2007
  Messages: 484
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Our priorities are upside down! Is it really that hard to differentiate wants from needs??? Kaazi kwelikweli...
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  kupeleka maendeleo ni lazima wananchi waulize?

  hiyo ni kazi ya serikali na wizara ya mipango sidhani kuna haja ya kufanya mikutano ya hadhara kuwauliza wananchi wanacho kitaka

  ndio maana tukawa na ma economists kule MIPANGO
   
 10. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ????? Pesa ni za salim na familia yake. haziwezi saidia wapemba wote. Kuna watu wangi sana wanaotoka Pemba wanapesa nyingi sana kuliko Salim, Mfano bakharesa.

  maendeleo yanaletwa na wananchi wenyewe panapowekwa mipango mathubuti.
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hata wakijenga hizo ni fedha za Wazanzibari tu,ambazo zimekuwa zikirundikwa huko upande wa Tanganyika ,sasa wanajaribu kuzirudisha kinyemela ili ionekane kuwa wanaleta maendeleo ,naona wanajaza maji kwenye pakacha,sijui hawaelewi kwa nini Karume hakuhudhuria NEC ?

  Jamani CCM haitakiwi tena Zanzibar itabakia hukuhuku Tanganyika tu ,na WaZanzibari wameshaona hatari ya kutawaliwa na CCM ni kurudishwa katika hali duni hata kabla ya utumwa na pengine hiyo hali ya kabla na utumwa ikawa ni bora kuliko maisha ndani ya utawala wa CCM ,utawala ambao umejijengea mipaka na maukuta na humo ndani wanafanya wanavyotaka kumkandamiza Mtz.

  Eti jamani wakiuwa wanaachiana ,wakiiba wanaachiana kwa visingizio vya utawala bora na kufuata sheria ,mbona mwizi wa kuku hahitaji kuundiwa tume na kutafutwa sheria kwenye makabati ili zimhifadhi ? Hawa wauaji ambao ushahidi upo wazi kabisa wanashindwa kuwekwa hata jela mwezi mmoja ? Eti hawakuuwa sasa mahakama haina uwoni wa kuona kuwa wameshiriki ,wanakuja na hoja hilo sio kosa alioshtakiwa ,yaani hata ile maana ya mahakama inabanjuliwa na kutawanywa ili wahafidhina wa CCM wabakie uraiani kama hakuna lililotokea ,viongozi wamenyamaza majaji wanaona wanatenda ndivyo ,hivi tunahitaji kiongozi mvuta bangi awakandie wauaji na wahujumu uchumi ? Ushahidi upo wazi kabisa ,yaani hata kipofu akisomewa basi hana jingine isipokuwa kuwahukumu kifungo wahusika na walioshiriki kama walifyetua risasi au hawakufyetua ,tusijaribu kuwahifadhi watu kwa kisingizio cha sheria haikufuatwa ,kuna mambo hayahitaji kuzitafuta sheria ,yaani mahakama peke yake ingetoa jambo la maana kwa kusema washitakiwa hawakushiriki lakini wamehusika ,kumbuka kesi ya Ditopile ,kesi ya Zombe ,kesi ya Mahita ,hawa wote wamehusika na uovu ,lakini wanahifadhiwa kwa kutafutwa sheria japo hazifai wala hazielekei.
   
  Last edited: Aug 25, 2009
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  yah!i am complying with tha red bolded part of your post
   
Loading...