Badala ya kulazimisha aliyempiga risasi Lissu, Tunatakiwa kujiuliza kwa nini Lissu hakufa pamoja na kupigwa risasi zaidi ya kumi kumi na sita

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,249
2,000
Mimi nadhani badala ya kutumia nguvu kuubwaa kulazimisha aliyempiga risasi Lissu, Tunatakiwa kujiuliza kwa nini Lissu hakufa pamoja na kupigwa risasi zaidi ya kumi na tano mwilini kwake!!!
Baada ya hapo itupe kujifunza kuwa :
- Mungu hakuzuia Daniel asitupwe kwenye tundu la simba bali alimlinda na Simba wasimtafune.
- Mungu hakuzuia Meshack,Shedrack na Abednego kutupwa kwenye moto, bali alizima makali ya moto usiwaunguze.
- Hivyo Mungu hakuzuia Lissu asipigwe risasi, bali aliondoa nguvu ya risasi kumuua Lissu.

Subirini KUSUDI LA MUNGU LITIMIE'
 
AGOLA

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,344

Kwani Akina Jiwe na Bashite wanajua kama Mungu yupo na Ana makusudi yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,173
2,000
Ila kitu nilichogundua ni kwamba wanamtuma Musiba kwanza aje kwa Porojo na baadaye serikali inapitia hapo hapo kuhalalisha. Ila siku iko kila kitu kitakuwa hadharani.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
19,866
2,000
Risasi 16 zipenye mwilini then upone hilo halipo; hata hao waliozipiga kwa sasa wanaishi kwa taabu saana - hii ni nature ya Mwanadamu kuwa huruma na ndoto za mara kwa mara Lissu akiwatokea akiwauliza kwa upole " Why are you killing me"! Tena ajabu risasi moja imetulia kwenye uti wa mgogo aaaa tuheshimiane - kitu hakipo.
 
social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,111
2,000
Huenda Lissu waganga wa dunia walimtengeneza,nimekumbuka miaka ya tisini tunaenda kushuhudia jambazi mwenye hirizi kagoma kufa richa ya mwili wote kuaribiwa vibaya.
 
machomanne

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
758
1,000
Baada ya bundi kuibuka Bungeni, kauli za utata zimeanza. Arudi Nyumbani amepona, sina taarifa yake kuwa huko Ulaya , anichafua nchi, arudi akatoe ushirikiano , akatwe mshahara, tumemlipia matibabu, nitatoa mkeka, Siku sema hivyo nimenukuliwa vibaya, haiwezekani apigwe mguu wa kulia pekee. Tulieni jamani, acheni kuweweseka.
Bundi wa mchana , hajawaacha salama.tutasikia mengi.ila bado tunasubiri mkeka utolewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom