Badala ya Fedha za Umma kufidia Mashirika ziimarishe Miundombinu?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Nimeona eti inate mabilioni ya fedha ni kunusuru mashirika yaliyouza mazao kwa hasara.Kwanini fedha hizo zisiimarishe miundombinu kwa wafanyabiashara wenye nguvu na mitaji ya kutosha.Utaratibu huo utakaribisha udanganyifu kwani utajuaje ni nani kapata hasara na nani la. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom