Mkulu alifanya kosa sana kuanza kutangaza kuwa amewashinda na wamekubali kutulipa
Madini yako ila kulipwa stahiki yako unazungushwa kama chapati kwenye kikaango halafu bado tunasema tuko huru!!!
Kwa sentensi hii ina maana waliosaini walivutwa?Hamkuvutwa nywele za tako kusaini mikataba. Ilikua either msiwakaribishe au muyaache pale yaoze full stop
KabisaaaaWatajijua wenyewe