Back on Track...Zitto "The Hero"

The Prophet

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
682
94
You're the hero. The real boy of Tanzania. We the teens of Tanzania believe in you.

That now you are back on track with 'the team' proves your maturity and integrity of our party leadership.

Thank you Zitto, the hero.
 
i do admire this guy kwa jinsi anavyohandle mambo hata bungeni si tunaona yeye mwenyewe anaweza bishana hata na wabunge kumi wa chama cha magamba, ila sometime sielewi elewi sa sijui zile tuhuma na kashfa za kuhujumu ni kweli au ndo siasa mchezo mchafu cjui ila nafrahi saana nikimuona on track pamoja comrade! Ila awe makini afanye vitu straight asiwape watu loopholes za kumdoubt
 
yuko njiani kuhamia ccm huyo, kama wanacdm wanavyo sema TIME WILL TELL
 
Ni kijana jasiri, watu huwa hawamuelewi tu. Mtieni moyo tu awe nasi daima....
 
You're the hero. The real boy of Tanzania. We the teens of Tanzania believe in you.

That now you are back on track with 'the team' proves your maturity and integrity of our party leadership.

Thank you Zitto, the hero.

I like the way He has changed keep up Zitto your future is bright if yuo will mantain this.
 
Zitto ukiamua kupiga kazi anazipiga kweli kweli, ongeza uvumilivu tu. namna hii hata sisi wananchi wa elimu ya chini tunakuelewa kwamba hujatutupa.
 
Timu ya ushindi,kazi za ushindi, matokeo ya ushindi ni mali ya wengi wapendanao na ni adui wa chuki, cdm safiiiiiii. kila anayetafuta ushindi, mafanikio, au kuleta mabadiliko hatakuwa na furaha moyoni kama wachezaji wake hawapo pamoja, hawapendani, wananyimana pasi na hawatengenezeani nafasi za kuipa timu ushindi. Kiukweli nina faraja, nina amani, nimefurahi na sasa nawapenda Zito na Mbowe na timu nzima ya uongozi ya CHADEMA, wamefanya kile ambacho nilikitamani kitokee na nitaendelea kukitamini kiendelee kuwepo. Sasa wamefunga milango ya uchochezi wamefungua milango ya mafanikio kwa CDM. Mungu awabariki wanachadema. mumeniongezea miaka ya kuishi kwa furaha mliyonipa aksanteni sana wandugu sasa tudai nchi yetu itoke mikononi mwa mafisadi aluta continua.
 
mkuu Zitto bado tuna imani kubwa na ww piganenei kama timu sisi tuko pamoja nanyi msiachane wala msijali majungu ya CCM -tukumbusheni ile namba ya kuchangia ili tuendelee kuwachangia ili mpate pesa ya kufanyia shughuli huko mikoani pamoja sana mkuu
 
Big up Zitto!

Nimefurahishwa sana kwa kuwasha moto kwa kuweka wazi kwamba Serikali ya CCM(Chama Cha Magamba) imefilisika/imefulia!
Mkullo-FM anajaribu kukanusa kuhusu habari ulizozitoa juzi kuwa kuna baadhi ya Watumishi wa serikali hawajalipwa mshahara wa April mpaka juzi tarehe 8/05/2011 na Waheshimiwa Wabunge hamajalipwa fedha ya posho ya mafuta.

Kinachochekesha au kufurahisha ni kuwa huku amekanusha lakini ameagiza watu wa Hazina kuchunguza kwanini kuna Watumishi hawajapata mishahara. Hii ni danganya toto,ukweli ni kuwa Hazina hawana pesa za kulipa kwa hiyo inavoonekana nu kuwa kuna sababu ya kutengeneza kuficha ukweli kuonyesha kuwa kulikuwa na uchelewesho usio wa lazima kulipa mishahara!

Ukweli ni kuwa HAWANA PESA NA MUDA WOTE HUU WALIKUWA WANAFANYA NEGOTIATIONS NA MABENKI ILI KUPATA PESA YA KULIPA MISHAHARA!!!

Hakika serikali ya Kiwete imefulia. Yawezekana pia kuwa walichota pesa ya Uchaguzi mwaka jana 2010 ili kufanyia kampeni! Sasa ukiunganisha na Wafadhili kutia ngumu kwenye Bajeti ya Kiwete lazima wawe hoi!
 
Back
Top Bottom