Back Into History, Mwl.Nyerere Visit in China.

We we unajiona bora, unafanya nini sasa kwenye mitandao humu. Si ungekuwa kwenye upande mwingine ule Wa akina Kinyata.
 
Ubora wa Nyerere ni kutuwezesha "kwenda popote kuoa, kuolewa, kununua ardhi na kujenga."

The most ignoramus comment in all of history.

Ni wapi duniani ambapo hawaruhusu raia kuoa, kuolewa, kununua ardhi na kujenga anapotaka?

Hatuoni mbali, hatuna exposure ya dunia, hatujui what is and what is not possible duniani hapa, kwa hiyo tunasifia Nyerere kwa vitu vidogo vidogo vidogoooooo, vya kijinga kupita maelezo.
Usitumie wingi,
Wengine tumeshasafiri huko Duniani na tunaendelea kusafiri, siku hizi mambo ni Rahisi zaidi, kama huwezi kusafiri basi hilo ni Tatizo lako binafsi.
Na hata hivyo, Huyu Kiongozi hana sifa Tanzania Pekee, ni Dunia Nzima,
Mpe mtu sifa yake pale anapostahili.
 
Back
Top Bottom