Bachelor of Science ya Open University inahusiana na nini?

Hivi hii bachelor of science general inayotolewa na open University inahusiana na nini na je ni sawa na ile ya UDSM?
general science hata udsm ipo yaani unasoma masomo mawili mfano chemistry& microbiology, mathematics& physics,chemistry & mathematics yaani ni kama bsc with education ila hiyo hausomi masomo ya education
 
Epuka epuka epuka hiyo kozi ndugu utakuja nishukuru ,soma kozi yoyote ile hata education lakini sio hiyo.
inategemea na combination yake ya A-level kama ana matokeo mazuri ya chemistry na biology siyo mbaya akisoma Bsc general yenye chemistry & biology siyo mbaya sana mana hata kama akikosa ajira yake anaweza akaenda wizara ya elimu akaomba kibali cha kufundisha akapewa.
 
kwanini mkuu ,?
Udsm soon inafutwa mwaka tuliomaliza general science walikuwa 3. Changamoto yake haiko specific, kukaa kuanza kumueleza muajiri nimesoma general science halafu nimebobea kwenye meth na computer huo muda hawana.

Ajira zinatolewa kwenye kozi ambazo ziko direct mfano civil engineering, Mathematics, computer science. Hiyo general science imeficha content ya ishu uliosomea.

Hata kwenye categories za ajira portal hawajaiweka. Udsm wameshituka mwaka 2019 walianzisha kozi Bs mathematics and statistics .lakini ilikuwepo toka kitambo ndani ya general science lakini ilikuwa haitambuliki.

Waajiri walikuwa wanatambua watu wa bs in mathematics au bc in statistics lakini ukienda kujitetea kuwa nimesoma general science halafu nimebase kwenye mathematics and statistics hawakuelewi.

Nadhani umenielewa japo kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahaaaa hapo nimekupata kaka
 
yes, kwa hapo wengi walikuwa wanapata shida ila inategemea na taasisi, mana nilishawahi kufanya kazi na watu walio soma food science na chemical and processing engineering ila waliajiliwa kama laboratory scientist
 
ni sawa na ile ya open
ni sawa japo kwa open kuna utofauti kidogo kwenye unit za kusoma, yaani somo moja unasoma unit nyingi kuliko lingine yaani una soma masomo mawili moja linakuwa major na lingine ni minor ila kwa udsm hakuna hiyo, na udsm kama mdau alivyoongea hiyo course wameifuta lakini wameanzisha course nyingine kama hiyo ila inaitwa BSc in applied microbiology & chemistry,
 
inategemea na combination yake ya A-level kama ana matokeo mazuri ya chemistry na biology siyo mbaya akisoma Bsc general yenye chemistry & biology siyo mbaya sana mana hata kama akikosa ajira yake anaweza akaenda wizara ya elimu akaomba kibali cha kufundisha akapewa.
Siku hizi hawatoi kibali cha kufundisha mpaka usome tena Postgraduate Diploma in Education.
 
Back
Top Bottom