Bachelor of Science in Data Management - Open University of Tanzania

Kama unaitaji kwenda open University pako vizur kwa ushauri wangu na kwa kozi Kama yako hua wanafundisha online and distance mode pamoja na face to face so Kuna mda utaingia daraeani wapo vizur ila wanna center nyingi wew jiunge kwenye center kubwa Kama ya kinondoni pale vitabu vipo kila kitu na utasoma
Mkuu ulisoma hii course? Na je chuo cha open kinatambulika vizuri nchi nyingine...?
 
Mmh!
Naona hizi bachelor zimekuwa nyingi kuliko kawaida.
Hivi bado watu hapa Tz wanawaza kusoma bachelor ili kuja kuajiriwa?

Kwa kweli ni bahati nasibu sana kutoboa.
Few courses (kama afya) bado kidogo kuna nafasi ya kuajiriwa, lakini fani nyingi mambo yamebadilika sana.
Ni magufuli aliua uchumi, kwa sasa ni swala la muda tu mambo yatakua sawa.
 
Kabla ya kusaidia kujibu uliyemuuliza swali naomba kukuuliza na wewe, kwanini unaonyesha mashaka kuhusu eti OUT kutambulika vizuri nchi nyingine?
Kuna watu wanaesma scholarship/kazi/ nje wanazingatia "vyuo vikuu" tu!

Unaweza endelea tu kunifafanulia
 
Kuna watu wanaesma scholarship/kazi/ nje wanazingatia "vyuo vikuu" tu!

Unaweza endelea tu kunifafanulia
Sijajua kuhusu hilo, lakini kama wanazingatia "Vyuo Vikuu " tu hata Open University of Tanzania nacho ni Chuo Kikuu kamili chenye ithibati kutoka TCU!!!!
 
Sijajua kuhusu hilo, lakini kama wanazingatia "Vyuo Vikuu " tu hata Open University of Tanzania nacho ni Chuo Kikuu kamili chenye ithibati kutoka TCU!!!!
Unaweza nisaidia nipate majibu, kwa maswali ya hapo juu niliyowauliza wadau?
Nipate mwangaza
 
Ni course inayochukuwa muda gani?, gharama..je?

All the best mkuu!!
Thanks mkuu,

Ni miaka 3 mpaka 6, ina units 40 @90,000, so mpaka unamaliza ni kama 3,600,000, ila first year andaa 1,200,000 ila inalipwa kwa installment
 
Asante mkuu,

All the best kwenye masomo yako. Nikipata wasaa, nitakupa recommendations za vitabu vya kusoma, tutorial na links za seminars na workshops.

Blessings your way
Aingie MIT open courseware. Wanatoa kozi data science ila kuna mda wanakunyima full access mpaka uchangie ila kozi ziko vizuri kama upo class vile.
Tarehe 2jun watakuwa na python For begginer hasa data science. Kwa kuwa anataka kujiunga okt ni vema aingie apate hizi introduction kutoka vyuo vikubwa.
Kozi ni free.
 
Aingie MIT open courseware. Wanatoa kozi data science ila kuna mda wanakunyima full access mpaka uchangie ila kozi ziko vizuri kama upo class vile.
Tarehe 2jun watakuwa na python For begginer hasa data science. Kwa kuwa anataka kujiunga okt ni vema aingie apate hizi introduction kutoka vyuo vikubwa.
Kozi ni free.
Thanks boss,

Am on it..
 
Thanks boss,

Am on it..
Ulete mrejesho. Harvard, Birminghsm vyoye vina free course, jenga utamaduni wa kutembelea katija sight zao mara kwa mara ili uendane na uhalisia.
Kana iko vizuri kiuchumi ujisajili hizo kozi upate na vyeti kwa kila sub course utakayosoma.
Kama utaisoma hio course nitaomba uni pm kwa sababu nami nataka nianze nayo mpaka watakapoishia.
 
Sina uzoefu na OUT na sijui curriculum yao ila Data Science ni kozi nzuri ajira zipo. Ulimwengu umebadilika we have loads of data ila hakuna analysts.

Data scientists wanafanya kazi mahali popote pale zilipo takwimu. Kwa Tanzania, fursa za ajira serikalini sio nyingi sana inabidi ujiongeze na ufanye networking hapo utaweza kujiajiri.

Darasani utasoma statistics na programming languages kama Python na Pascal. Kama utasoma OUT, enroll for online courses za edX zitasupplement vitu vingi ambavyo sidhani kama utacover ukiwa OUT.

Ni vizuri ukasoma Data Science na specialisation nyingine mfano ukifanya Economics au Finance na Data Science unakuwa Financial Analyst. Ukifanya hivi unaongezea uelewa wa mambo na chances za kuajiriwa ama kujiajiri kama mshauri au mtafiti.

Analysts wengi field hawasomi BSc Data Science undergraduate; wengi wana degrees in different fields kama Accounting, Finance, Statistics, Econ ama Public Health. Vitu vingi unajifunza on job!

Kila la heri.
Mkuu Rastus

Hii hapa curriculum ya OUT kwa Bsc Data Management.

Your views or any comment?
Screenshot_20210706-222604.jpg
 
Mkuu Rastus

Hii hapa curriculum ya OUT kwa Bsc Data Management.

Your views or any comment?View attachment 1843879
Well, courses zao zinacover key things.

On your own anza kusoma hizi courses:
  1. Understanding Computers (https://bit.ly/3ACyJKB)
  2. Introduction to Computer Science (https://bit.ly/3jPdcZ1)
  3. Introduction to Computer Science and Programming with Python (Introduction to Computer Science and Programming in Python)
Kama hujawahi fanya programming hizi courses zitakupa basics za computer science -ni bure kabisa. Ukimaliza hizi unaweza endela na courses nyingine za programming na analytics vizuri.

Pia, unahitaji usome economics kidogo.
  1. Introductory Microeconomics (Principles of Microeconomics)
  2. Introductory Macroeconomics (https://bit.ly/3hm1Av2)
Hizi two courses zitakupa perspective kwenye uchumi. Data analysts wanafanya kazi sana na economic data. Inabidi uwe na basic understanding ya economics. Tumia hizo links usome. Microecon ni lectures za MIT na hizo za Macroecon ni lectures za Missourri State Uni.

Ukifika muda wa electives chagua zitakazo match goals zako. Kama unaintrest na health data basi fanya health data management.

Fungua account Harvard Online Learning au MIT Opencourseware kama Tangantika alivyoshauri. Hizi ni learning resources nzuri sana. Vitu vingi itabidi ufanye self learning. Google wanatoa professional certificate ya data analytics. Unaweza
 
Back
Top Bottom