Bachelor of Science in Data Management - Open University of Tanzania

Well, courses zao zinacover key things.

On your own anza kusoma hizi courses:
  1. Understanding Computers (https://bit.ly/3ACyJKB)
  2. Introduction to Computer Science (https://bit.ly/3jPdcZ1)
  3. Introduction to Computer Science and Programming with Python (Introduction to Computer Science and Programming in Python)
Kama hujawahi fanya programming hizi courses zitakupa basics za computer science -ni bure kabisa. Ukimaliza hizi unaweza endela na courses nyingine za programming na analytics vizuri.

Pia, unahitaji usome economics kidogo.
  1. Introductory Microeconomics (Principles of Microeconomics)
  2. Introductory Macroeconomics (https://bit.ly/3hm1Av2)
Hizi two courses zitakupa perspective kwenye uchumi. Data analysts wanafanya kazi sana na economic data. Inabidi uwe na basic understanding ya economics. Tumia hizo links usome. Microecon ni lectures za MIT na hizo za Macroecon ni lectures za Missourri State Uni.

Ukifika muda wa electives chagua zitakazo match goals zako. Kama unaintrest na health data basi fanya health data management.

Fungua account Harvard Online Learning au MIT Opencourseware kama Tangantika alivyoshauri. Hizi ni learning resources nzuri sana. Vitu vingi itabidi ufanye self learning. Google wanatoa professional certificate ya data analytics. Unaweza
Nashukuru sana mkuu,

Kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba, despite ya google kutoa training na certificate pia, ila ukiiva kwenye hizo analytics wanaweza kukupa kazi ukawa unapiga remotely,hii scenario ikoje?
 
Sijuani na watu waliofanya kazi Google ila hakuna kinacho shindikana, just be good in your craft.
 
Sina uzoefu na OUT na sijui curriculum yao ila Data Science ni kozi nzuri ajira zipo. Ulimwengu umebadilika we have loads of data ila hakuna analysts.

Data scientists wanafanya kazi mahali popote pale zilipo takwimu. Kwa Tanzania, fursa za ajira serikalini sio nyingi sana inabidi ujiongeze na ufanye networking hapo utaweza kujiajiri.

Darasani utasoma statistics na programming languages kama Python na Pascal. Kama utasoma OUT, enroll for online courses za edX zitasupplement vitu vingi ambavyo sidhani kama utacover ukiwa OUT.

Ni vizuri ukasoma Data Science na specialisation nyingine mfano ukifanya Economics au Finance na Data Science unakuwa Financial Analyst. Ukifanya hivi unaongezea uelewa wa mambo na chances za kuajiriwa ama kujiajiri kama mshauri au mtafiti.

Analysts wengi field hawasomi BSc Data Science undergraduate; wengi wana degrees in different fields kama Accounting, Finance, Statistics, Econ ama Public Health. Vitu vingi unajifunza on job!

Kila la heri.
Mkuu Rastus ,

Napenda kutoa mrejesho kwamba nimefanikiwa kupata admission OUT-Bsc Data Management, so nasubri hiyo November nianze mchakamchaka.

I will keep on following ulichonishauri, na nitakuwa nakucheck for any enquiries,thank you.
 
Hongera Sana
 
Usikae unasubiri mwalimu darasani anza kupiga jaramba youtube..

Ukingoja mwalimu akufundishe kila kitu utakuja isoma namba.
 
Mkuu Rastus ,

Napenda kutoa mrejesho kwamba nimefanikiwa kupata admission OUT-Bsc Data Management, so nasubri hiyo November nianze mchakamchaka.

I will keep on following ulichonishauri, na nitakuwa nakucheck for any enquiries,thank you.
Tuwasiliane mkuu.. Mim pia n mmoja wapo
 
Back
Top Bottom