Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,292
8,202
Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science.

Na ina utofauti gani na BAF
 
Bachelor of Science in Accounting and Finance hii ndio kozi gani nimeshindwa kuelewa kabisa nipeni ufafanuzi hilo neno Science.

Na ina utafuti gani na BAF
Mzumbe wanatoa Masters of science in Accounting and Finance, Masters of a Science in Supply Chain Mgt. Kiukweli mpaka sasa nashindwa kuelewa, hii science inamaanisha nini!?

au

Ni mbwembwe tu za kuvutia watu wakasome! Maana mambo ni yale yale, vitabu ni vile vile, sasa sijui labda kwakuwa kuna ongezeko la matumizi ya accounts packages?

Anyways, ngoja nami nisubiri wajuvi.
 
Kwe

kweli wajuvi waje aise wajilete wenye we.
 
Bachelor of Science in Accounting and Finance.

Ni sayansi ya uhasibu na mambo ya fedha. Hii course ni kweli baadhi ya masomo ni yale yale ila mnaingia deep kuzichambua topics kiundani.

Kwa lugha laini hilo neno science linawakilisha upekenyuzi,uchambuzi na hatimaye matokeo so mnasoma ila kwa undani zaidi tofauti na BAF ya kawaida ambayo mnashikashika content juu kwa juu .
 
Back
Top Bottom