Bachelor of Rural Development

lunyiliko

Senior Member
Jun 10, 2011
171
79
wakuu, poleni na kazi za ujenzi wa Taifa.
Naombeni kupata ushauri kwenu wadau wa jf.
nimechaguliwa kwenda kusoma degree ya rural development Sua.
naombeni munieleweshe vizuri kuhusu hii kozi kama ina future au laa. upatikanaji wake wa kazi ukoje ?
naombeni mawazo yenu waungwana nisije nikapoteza muda kusoma kitu ambacho hakitanisaidia baadea.
karibuni wakuu.
 
Haina tofaut sana na m2 anaesoma sociology au project planng,so kapge 2 mkuu.
 
Jamani mi naomba tujirekebishe....mtoa thread ulitakiwa kutafuta ushauri huu kabla ya kuapply,sasa umeshapata ndo unatuomba ushauri mi naona kama haiingii akilini vile kwani humu ndani wakikuambia hiyo field haina future hutaenda?na kama usipoenda huoni kama utakuwa umemzibia mtu hiyo nafasi uliyopewa ukaikataa.Tubadilike jamani
 
kasome ni kozi nzuri. employers wa kozi hiyo ni vyuo vikuu, ngo (local), international ngo, local gove haina tofauti na mtu anayesoma development studies..principle ni zile zile sema iko specific sana na jamii masikini, watu wa vijijini....cha msingi soma kwa makini sana, ukitoka uwe pia unajua kutumia komputer kwa kiwango cha juu...elective kozi chagua zile za uchumi......pia chuo chenyewe ni chuo bora kabisa katika nchi hii, ina walimu wa kutosha..wanafunzi wachache, vifaa vya kumwaga..computer, vitabu.....kila la kheri
 
Kozi nzuri sana. Kapige kaka ucjali na uckatishwe tamaa. Kwa sisi 2nao tafuta kaz sasa hv 2nakutana na post nyingi za koz hiyo.
By the way SUA ni chuo kizuri na chenye jina TZ na msuli wake ni wa uhakika, hawababaish. Kapige ktabu dogo.
 
wakuu, poleni na kazi za ujenzi wa Taifa.
Naombeni kupata ushauri kwenu wadau wa jf.
nimechaguliwa kwenda kusoma degree ya rural development Sua.
naombeni munieleweshe vizuri kuhusu hii kozi kama ina future au laa. upatikanaji wake wa kazi ukoje ?
naombeni mawazo yenu waungwana nisije nikapoteza muda kusoma kitu ambacho hakitanisaidia baadea.
karibuni wakuu.

sina cha kukusaidia ulitakiwa kabla huja'apply ndio ungeulza.. Kwahyo kasome tu ndugu uje utuendeleze vijiji vyetu.
 
Wewe Lutala,Nduka na Mzalendofungo kama hamna cha kuchangia ni bora mkae kimya acheni dharau,mtu anaomba ushauri nyie mnaleta ishu zisizo na msingi, mimi nimesoma hiyo degree tukiwa ndo batch ya kwanza na leo wote tupo kazini wengine tupo serikalini katika halmashauri, manispaa na wizarani ,wengine NGO na wengine wamejiajiri all over Tz tupo nyie mnaongea kitu gani, mwacheni dogo akasome hiyo degree kazi ni Community /Rural development officer/ Project officer/ Project Co ordinator nk
 
Hi Kaka, katika ulimwengu wa sasa wa utandawazi hamna kozi isiyokuwa na future, cha msingi ni wewe kama una alternative chagua unachofeel utakiweza, unakipenda na unamipango nacho. Na kama huna alternative kwa maana ya kwamba kozi ndo hiyo hiyo ulopata kasome na kuanzia sasa mwaka wa kwanza anza kufanya utafiti mdogo ni shughuli gani zinahusiana na kozi yako na endapo ukijiajiri ni eneo gani unaweza kulifanya mtaji na likawa core business. Sana sana nashauri soma ukiwa unafocus kujiajiri as a must, ikitokea unaajiriwa hayo ni majaliwa.
 
ndugu nickilize mm. km kuna uwezekano wa kubadili course nakushauri haraka badili. Nina rafiki yangu kamaliza 2009 mpaka leo hata kuitwa kwenye interview tu utata.nae anao washkaji aliomaliza nae mpaka leo hawajapata kazi. ila km unataka kuwasiliana nae akupe ushairi zaidi nichek kwenye mankipe@live.com
 
hakuna coz ambayo haina future.Au future unayo izungumzia ni ipi?,kama mtazamo wako una option1 ya kuajiriwa aftr xul ndo wasiwasi wako but we nenada kasome ukikosa ajira since utakua umesoma Rural dvp utaanzisha projects huko na ndo future yenyewe
 
ndugu nickilize mm. km kuna uwezekano wa kubadili course nakushauri haraka badili. Nina rafiki yangu kamaliza 2009 mpaka leo hata kuitwa kwenye interview tu utata.nae anao washkaji aliomaliza nae mpaka leo hawajapata kazi. ila km unataka kuwasiliana nae akupe ushairi zaidi nichek kwenye mankipe@live.com

weak arguement to give ndani ya jamiiforum huwezi kumdiscourage jamaa asiende kupiga hiyo degree kisa jamaa yako hana kazi,what is the factor behind kwa yeye kutokuwa katika ajira mpaka leo
1.hajitumi kuomba
2.anataka kazi afanye Posta-Dar wakati kasoma Rural
3.ana GPA isiyokidhi
4.hataki kuongea na watu apewe channel za serikalini na NGO's pia jamaa zake wangapi hawajapata kazi kati ya wangapi coz as i remember graduates wa Rural 2009 walikuwa 70 na msilete ushabiki wakati hamna fact za kuraise arguement
 
Back
Top Bottom