BACHELOR OF PHYSICAL EDUCATION AND SPORT SCIENCE. (UDSM)

averbright

Member
Sep 11, 2019
7
2
sorry wakuu kwa anaeielewa hiyo cozi tajwa hapo juu anielezee, usomaji wake, field, na mwelekeo wa ajira unaweza kujiajiri? pia je anaeisoma anawez soma na masomo mengin ya Darasani kama mwalimu wa kawaid mashuleni..
please msaada
 
NImesoma longido secondary ikoo arusha kulikua kuna mwalimu anafundisha physical education alikua anafundishaa maswala ya michezo tuu hakua na somo lingine akokua anafundishaa subria waje wenye uzoefu mkuu watakuchambulia vizur
 
School niliyopiga kuna ticha alikuja kufanya field alikuwa kasomea hiyo course, alikuwa anafundisha G.S na Civics lakini assessment ilifanyika uwanjani(Sijui kivipi cz ilikuwa ni muda wa vipindi)
 
Vijana wengi waliohitimu vyuo vikuu siku hizi wanalalamika kuwa hawana kazi NA wapo tu mtaani, nimegundua sababu kubwa ni kwamba wamekosa miongozo sahihi kwa wakati sahihi ktk hatua za awali kabisa kutoka kwa waliowatangulia, hususani kuhusiana na dira (road map) juu ya maisha yao. Swali hili au hoja hii ilitakiwa kupatiwa majibu sahihi na yakinifu wakati mhusika alipokuwa Kidato cha Pili au kidato cha tatu, NA endapo kama angechelewa sana kuipatia majibu basi ingekuwa akiwa kidato cha sita, tena mwanzoni kabisa.
 
upo sahihi mkuu nmekuelewa
 
Hiyo programme inahusu ualimu wa somo la michezo lakini pia unafundishwa course zote za ualimu na somo lingine la kufundishia mfano Biology, Civics nk.
 
Back
Top Bottom