Bachelor of Education in Physical Education and Sport Science

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
Kwa anaefaham chochote kuhusu hiyo kozi inayotolewa na UDSM naomba anipe mawazo, kuhusu usomaji wake, field, na future.

Karibun wana JF wenzangu!
Kimsingi hii ni shahada ya ualimu inayotolewa na Chuo Kikuu Dar es Salaam, pamoja na kufundisha stadi zingine za msingi za ualimu msisitizo wake upo katima michezo.

Wanafunzi wa shahada hii hutoka moja kwa moja Kidato cha Sita au kutoka vyuo vya ualimu na hufundishwa michezo karibu yote kiufundi, utawala, masoko, saikolojia na mambo mengine ambayo yanahusu michezo.

Mwanafunzi anayehitimu shahada hii huweza kuwa mwalimu wa michezo katika Sekondari au vyuo vya ngazi ya cheti na stashahada, huweza kuwa maafisa michezo wa wilaya, mkoa au mashirika mbalimbali na pia huweza kufanya kazi katika vyama, mashirikisho pamoja na vilabu vya michezo kote nchini.

Wanafuzu pia kuwa makocha, watawala au hata waamuzi wa michezo mbalimbali.

Karibu.

Soma zaidi:
View attachment Prospectus 2012-2013 (SoED pg 199 - 209)].pdf

Kama hawa watu wanainclude kile tunachokiita rehabilitation ni kozi nzuri sana ,maana unaweza kufanya kazi hospitalini.

Mfano,digrii ya namna hii inayotolewa Cuba ni nzuri sana maana hawa watu ni muhimu sana katika kitengo cha rehabilitation .
Bila shaka baada ya degree hii unaweza kabisa kufanya masters ya physiotherapy.

My take:NAKUSHAURI UISOME UKIMALIZA UTAKUWA NA DILI SANA.
Miaka ya 2003 nakumbuka Watz waliokuwa na masters hii walikuwa wawili tu.

Its good keep it up.Mimi namwona aliyesoma degree hii yuko juu ya degree zote za education.
 
tupeane moyo 2.
 
asanten kwa hzo faraja zenu, but sina mkopo kwa kigezo cha PREVIOUS LOANEES, sijajua hatma ya maisha yangu maana chuo ndio j3, hata ukiniuliza nataka kuwa nani, sina jibu, serikal yetu ndio inapangia watu wawe akina na nani baadae. hii ndio miaka yangu 50 ya uhuru.
 
twende ze2 libya ka vp,kwan umewauliza bodi wamekujbuje?
 
Mada tajwa hapo juu yahusika

ndugu yangu ana cheti cha diploma of education(gpa 3.0,kamalza 2012) anataka kuomba hyo..ila anaulza inakuwaje,inadili na nn?ajira?
 
Mada tajwa hapo juu yahusika

ndugu yangu ana cheti cha diploma of education(gpa 3.0,kamalza 2012) anataja kuiomba hyo..ila anaulza inakuwaje,inadili na nn?ajira?

Kimsingi hii ni shahada ya ualimu inayotolewa na Chuo Kikuu Dar es Salaam, pamoja na kufundisha stadi zingine za msingi za ualimu msisitizo wake upo katima michezo.

Wanafunzi wa shahada hii hutoka moja kwa moja Kidato cha Sita au kutoka vyuo vya ualimu na hufundishwa michezo karibu yote kiufundi, utawala, masoko, saikolojia na mambo mengine ambayo yanahusu michezo.

Mwanafunzi anayehitimu shahada hii huweza kuwa mwalimu wa michezo katika Sekondari au vyuo vya ngazi ya cheti na stashahada, huweza kuwa maafisa michezo wa wilaya, mkoa au mashirika mbalimbali na pia huweza kufanya kazi katika vyama, mashirikisho pamoja na vilabu vya michezo kote nchini.

Wanafuzu pia kuwa makocha, watawala au hata waamuzi wa michezo mbalimbali.

Karibu.
 
Mkumbike kocha marehemu mziray,kama sikosei alikua yupo department hio,ni course nzur sema hii Tanzania yetu ndio ina matatizo watu hawaheshimiwi professional zao
 
bonge moja ya course.. itakuhakikishia mafungu ya semina na marupurupu..miradi ya kimichezo na safari kibao.. waweza kuwa afisa michezo manispaa au wa halmashauri... mwalimu mkufunzi wa michezo vyuo vya diploma..au sekondari...
ingawa kuna uwezekano wa kuanza kuajiriwa kama mwl wa kawaida wa kufundisha class...ila fursa yako ikitokea tuu UNAPEWA hainaga mizengwe hii..
 
Back
Top Bottom