Bachelor of Education & Bachelor of Art With Education ni Programme ipi nzuri kuchukua?

Gonzalo Miguel

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
837
622
Habari za saizi WanaJF

Baada ya matokeo ya kidato cha sita kutoka,Nina dogo alichukua HKL na kwa balaka za Mungu katunukiwa Div 1.9 yani
History-D
Kiswahili-B
English-C
Gs-E
Asa kwa ufaulu huo anatak kuchukua kozi ya ualim
Sasa mkanganyiko umetokea achukue BA.ED au B.ED

Kwa ushauri wenu WanaJF wajuvi ni programme ipi nzuri na inanumafaa kwake
Ikiwezekana na ushauri wa chuo kizuri kusomea moja ya programme

MSAADA WENU TAFADHARI
 
Kama ana connection na idara za juu asome tu yoyote kati ya hizo!

Kama hana connection mwambie arudi tena kwenye TCU guide book aangalie kozi zingine!
 
Habari za saizi WanaJF

Baada ya matokeo ya kidato cha sita kutoka,Nina dogo alichukua HKL na kwa balaka za Mungu katunukiwa Div 1.9 yani
History-D
Kiswahili-B
English-C
Gs-E
Asa kwa ufaulu huo anatak kuchukua kozi ya ualim
Sasa mkanganyiko umetokea achukue BA.ED au B.ED

Kwa ushauri wenu WanaJF wajuvi ni programme ipi nzuri na inanumafaa kwake
Ikiwezekana na ushauri wa chuo kizuri kusomea moja ya programme

MSAADA WENU TAFADHARI

Ningemshauri achague kozi tofauti na hizo. Kusomea ualimu ni kusoma uwe masikini hapa TZ.

Hutalala njaa ila maisha yako yatajaa mikopo kuanzia ya benki hadi kule bayport na saccoss.

Aidha, ni kazi ambayo kila kiongozi wa kisiasa akijisikia kudhalilisha mtu au kutukana, anaenda kuwatukana walimu iwe diwani, mbunge, dc/ rc na waziri; hata akitamani kupiga viboko anawafuata walimu na kupiga.

Ni kazi dhalili, mtaani utatambulishwa kwa udhalili mno. Mathalani, watatambulishana kwa heshima na taadhima, utasikia huyu ni Lawyor Abc, yule pale ni Marketing Officer Def, yule pale ni Engineer Ghi, wakija kwako mwalimu watakutambulisha hivi, na huyu mwenzet ni mwalimu Jkl.

Ni kazi pekee ambayo jamii inaona wanasomea ma-failier, "Utasikia hata ualimu umekosa?" Yaani, ualimu ni kazi iliyojalala la kutupia mafailier wo wote wale.
Siku zote mwalimu anakuwa ngazi ya kupandia juu lakini yenyewe haipandi juu.
 
Kipindi sisi tunasoma BED walikuwa wanachukuliwa watu waliofaulu vizuri zaidi... Koz walikuwa wengi wanaenda kuwa Wakufunzi vyuo vya ualimu au lecturers...

Ila sasahivi wanajiendeaendea tu.

As for your mdogo asichikue yeyote kati ya hizo... Akasome kitu kingine. Ualimu hauna ajira atapoteza muda wake buree...
 
Hivi kuna tofauti gani course za bachelor of education....
. na bachelor of art with.......
 
Muongozo mkuu kozi zngne nzur mbal na za ualim
 
Hivi kuna tofauti gani course za bachelor of education....
. na bachelor of art with.......
Nasikiaga BA.Ed unasomea kufundsha masomo mawili
Na B.Ed una somea kufundsha somo moja af kuna makorokocho kbao ambapo wa BAEd asomi kama Psychology

Tuwasubir wajuv nsije ongopa
 
Hakuna afadhari hapo. Kama lengo ni uonekane na wewe uko Chuo kikuu basi soma tu ila kama ni feature basi hakuna kitu hapo.

Soma kitu ambacho mambo yakiwa mabaya uta ki upply mtaani.

Sasa hiyo Education sijui Arts labda uka fundishe Tuition.

Tatizo watu tunasoma ili tuonekane na sisi tupo chuo kikuu ila ukweli wa mambo ni kwamba Dunia imebadilika mno.
 
Sociology, psychology, law, journalism, n.k
Katika hizo journalism ndio rahisi sana kujiajiri kuliko hata ualimu.
Yes kinacho takiwa ni kusoma kitu ambacho utakuja kukiuply mtaani.

Shida ni pale mtu anapo soma tu kozi yoyote ilimuladi aonekane na yeye alienda Chuo kikuu
 
Mkuu soma BAED ndani yake utasoma koz nying than BED alafu jiandae vyuo vya PRIVATE hapo kwa ufaulu huo szan government
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom