BACHELOR OF COMPUTER SCIENCE SOFTWARE ENGNEERING

alicio

alicio

Member
Joined
Jul 24, 2017
Messages
25
Likes
7
Points
5
alicio

alicio

Member
Joined Jul 24, 2017
25 7 5
Wakuu nilikua naomba kujuzwa juu ya programme tajwa hapo juu ya computer science software engeneering changamato na ugumu wake na pia faida zake baada ya kuhitimu ukatoka vizuri
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
11,286
Likes
13,319
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
11,286 13,319 280
Wakuu nilikua naomba kujuzwa juu ya programme tajwa hapo juu ya computer science software engeneering changamato na ugumu wake na pia faida zake baada ya kuhitimu ukatoka vizuri
Hii inatolewa ruaha kama sijakosea, ila hamna SE hapo hiyo ni comp science ya kawaida.

Kufanikiwa kwenye computer related field unahitaji pasion na sio kujua ajira zipo au hazipo!!
 
alicio

alicio

Member
Joined
Jul 24, 2017
Messages
25
Likes
7
Points
5
alicio

alicio

Member
Joined Jul 24, 2017
25 7 5
Hii inatolewa ruaha kama sijakosea, ila hamna SE hapo hiyo ni comp science ya kawaida.

Kufanikiwa kwenye computer related field unahitaji pasion na sio kujua ajira zipo au hazipo!!
KWELI KAKA inatolewa ruaha nataka nikaisomee hii vp kuhusu ugumu wake maana hesabu zinasumbua
 
K

kamarah

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
487
Likes
631
Points
180
Age
29
K

kamarah

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2016
487 631 180
Bachelor of Science in Software Engineering, hii kitu iko poa Sana nimehitimu miaka kadhaa iliyopita nipo nakula maisha murua. Nakushauri soma hiyo kitu hutojuta. Ila ina vikozi flani hivi vina changamoto kiaina.... Usisahau mafanikio yoyote hutegemea na juhudi
 
alicio

alicio

Member
Joined
Jul 24, 2017
Messages
25
Likes
7
Points
5
alicio

alicio

Member
Joined Jul 24, 2017
25 7 5
Bachelor of Science in Software Engineering, hii kitu iko poa Sana nimehitimu miaka kadhaa iliyopita nipo nakula maisha murua. Nakushauri soma hiyo kitu hutojuta. Ila ina vikozi flani hivi vina changamoto kiaina.... Usisahau mafanikio yoyote hutegemea na juhudi
shukrani kaka vp kuhusu hesabu maana nasikia kuna hesabu ngumu humo balaa
 
Sijuti

Sijuti

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
2,593
Likes
2,052
Points
280
Sijuti

Sijuti

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
2,593 2,052 280
Natamani kukuchapa fimbo, kama huipendi ACHA hakuna kitu kigumu ukijitoa. Ila kama huipendi utaumia tu kama unaipenda utatamani kujua na utajikuta unasoma vitabu vingi na kuandika software kibao zitakazosaidia kutatua changamoto mbalimbali
 
Twinawe

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Messages
687
Likes
589
Points
180
Twinawe

Twinawe

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2016
687 589 180
Hii inatolewa ruaha kama sijakosea, ila hamna SE hapo hiyo ni comp science ya kawaida.

Kufanikiwa kwenye computer related field unahitaji pasion na sio kujua ajira zipo au hazipo!!
Umemjibu vizuri akitafakari vizuri atakwelewa
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
11,286
Likes
13,319
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
11,286 13,319 280
Bachelor of Science in Software Engineering, hii kitu iko poa Sana nimehitimu miaka kadhaa iliyopita nipo nakula maisha murua. Nakushauri soma hiyo kitu hutojuta. Ila ina vikozi flani hivi vina changamoto kiaina.... Usisahau mafanikio yoyote hutegemea na juhudi
Wewe unasemea SE ya UDOM ambayo mlisoma miaka 4....mwenzako anasema bsc comp science and software engineering ya ruaha inayosomwa miaka mitatu... Ni vitu viwili tofauti
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
11,286
Likes
13,319
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
11,286 13,319 280
shukrani kaka vp kuhusu hesabu maana nasikia kuna hesabu ngumu humo balaa
Sasa kama unaogopa hesabu programming na algorithm itakuaje mkuu??

Lazima upende hesabu otherwise patakua pagum hapo...
 
edwayne

edwayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
3,672
Likes
3,133
Points
280
edwayne

edwayne

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
3,672 3,133 280
KWELI KAKA inatolewa ruaha nataka nikaisomee hii vp kuhusu ugumu wake maana hesabu zinasumbua
Hesabu sio muhimu sana kwenye hiyo field sababu watu wanaotengeneza algorithm ni wasomi WA Hesabu kabisa yani mathematician wewe kazi yako ni kuimplement hizo algorithms na kuzielewa
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
11,286
Likes
13,319
Points
280
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
11,286 13,319 280
Hesabu sio muhimu sana kwenye hiyo field sababu watu wanaotengeneza algorithm ni wasomi WA Hesabu kabisa yani mathematician wewe kazi yako ni kuimplement hizo algorithms na kuzielewa
Aiseee,kazi ipo
 
Eng temu

Eng temu

Senior Member
Joined
Nov 24, 2016
Messages
145
Likes
58
Points
45
Age
36
Eng temu

Eng temu

Senior Member
Joined Nov 24, 2016
145 58 45
Yes, computer science ina jumuisha yote hayo,, ndio maana halisi ya computer science,, software and hardware
 
alicio

alicio

Member
Joined
Jul 24, 2017
Messages
25
Likes
7
Points
5
alicio

alicio

Member
Joined Jul 24, 2017
25 7 5
shukrani sanaa wakuu nachoamini hakuna kitu kigumu kama ukijitoaa na field ya technology ni pasion yang kabisaa
 
Forum statistics

Threads 1,214,433
Members 462,703
Posts 28,511,957