Bachelor of accounting and finance au Bachelor of science in business communication and information technology.

mhshemdoe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Messages
200
Points
250

mhshemdoe

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2017
200 250
Habari JF,
Matokeo yake ya kidato cha sita ni haya
-Economics 'C'
-Geography 'D'
-A/Maths 'E'
Katika kuangaliaangalia kozi mbalimbali nimekutana na kozi tajwa hapo juu na moja wapo ya vyuo vinavyotoa hizo kozi ni Moshi Coperative University(MoCu).
Ningependa kujua kozi ipi ni nzuri haswa kwa upande wa ajira na pia kujiajiri. Pia ubora wa chuo(MoCu) katika hizo kozi, pia kama hiko chuo sio sahihi ningependa kuomba mapendekezo ya vyuo bora kwa hizo kozi.
Pia kama kuna kozi nzuri ambazo anaweza akafit kwa masomo aliyo soma na ufaulu aliopata nakaribisha ushauri.
 
de98

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
558
Points
500

de98

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
558 500
Katika sekta ya IT tusidanganyanye hakuna chuo wanatoa product nzuri kama
1.udism
2.udom
3.dit(kwa sasa)
4.atc arusha

Hivyo vyuo vingne unavyovijua ni wanatoa partial product ukitaka ushahidi katafute product za vyuo ivo
 
mhshemdoe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Messages
200
Points
250

mhshemdoe

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2017
200 250
Katika sekta ya IT tusidanganyanye hakuna chuo wanatoa product nzuri kama
1.udism
2.udom
3.dit(kwa sasa)
4.atc arusha

Hivyo vyuo vingne unavyovijua ni wanatoa partial product ukitaka ushahidi katafute product za vyuo ivo
UDSM competition kubwa kwa matokeo hayo itabdi niangalie hvyo vingine.
Kwa UDOM, vp hiyo BSc in business information system au hii ya BSc in information system czinaendana tu na IT
 
de98

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
558
Points
500

de98

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
558 500
Zote program utasoma IT
na nimoja ya degree programs nzuri masomo yake yanaingiliana sana BIS & IS pia lazima usome bussness katika IT ndani ya Degree prog izo
UDSM competition kubwa kwa matokeo hayo itabdi niangalie hvyo vingine.
Kwa UDOM, vp hiyo BSc in business information system au hii ya BSc in information system czinaendana tu na IT
 
Forum statistics

Threads 1,358,203
Members 519,232
Posts 33,162,308
Top