Bachelor in Geology vs Civil Engineering

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Which is better for my future Geology or Civil engineering....ushauri!! Nimechaguliwa geology udsm na civil chuo kingine
 
Ushaona kabisa Mkulu anazingua wana migodi.

Hiyo Geology unaenda kusomea ya nini?

Chukua Civil mpango mzima
 
dah kijana chagua unachokipenda.
lkn nikuelezeee tu situation ya geology kwa sasa nchini ni mbaya sana.

geology imeshuka ubora mno.no projects works at all, no explorations activities. .

ni hatari tupu.tupo mtaani na geology zetu tumeamua tujiajiri nje ya geology. .

chagua unapoona kwa kweli ila usiangalie sana kuajiriwa.
 
Which is better for my future Geology or Civil engineering....ushauri!! Nimechaguliwa geology udsm na civil chuo kingine
Chuo kingine ni kipi hicho? Umetaja UDSM sasa shida ni nini kutaja hicho kingine???? Ukikua utajua kosa lako....
 
anatuvuruga tu huyu chuo kingine kipi hicho mbona hutaki kuweka wazi ,UDOM haina Civil Engineering mwaka huu
nilichogundua ni kuwa mgogoro binafsi ulionao ni kuhusu Civil Engineering vs udsm ,nenda Civil mkuu acha poyoyo apa, ukishindwa kuitema udsm nenda ukifika kaombe uhamie Civil ,FULL STOP!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom