Bachelor Degree in Accountancy holder

Beeba

Member
Jan 30, 2012
19
3
Heshima wakuu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu natafuta nafasi ya kazi au ya kuvolunteer. Ni msichana, nipo Dar. Kwa anayeweza kunisaidia aniPM tafadhali. Shukrani sana.
 
Umemaliza mwaka gani na chuo gani ili tuone namna ya kukusaidia?
 
Heshima wakuu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu natafuta nafasi ya kazi au ya kuvolunteer. Ni msichana, nipo Dar. Kwa anayeweza kunisaidia aniPM tafadhali. Shukrani sana.

Kama bado nakushaur jiandikishe uanze kufanya mitian ya nbaa while unaendelea kutafuta kaz
 
Bahati mbaya natoka kwenye familia duni, mpaka kumaliza hiyo degree mungu ndo ajuaye nlopitia, kwa hiyo hata hilo halitawezekana mpaka ntakapojiweza mwenyewe.
 
Pole...am sure it's just a matter of time utapata...pccb uliaply?
 
Aisee,pole sana,binafsi nina degree ya accnts nimemaliza mwaka jana,baada ya kusota nimejiajiri nilikw na laki 5,nilifuga kuku wa kisasa,kwa sasa nina kuku 683,pia nina nimefungua pub naonyesha mpira na kuuza vinywaji.
Nakushauri wakati unatafuta kazi fanya biziness hata ya nguo,chukua kkoo wapelekee masistaduu vyuoni ili uwe unapata hata hela ya kufanya hizo application na nauli za kwenda ktk enterview.
Jitume dada huku unatafuta kazi,jichanganye mjini hapa.
 
Asante kwa ushauri.
 
Thankx for clarification binafsi nimeajiriwa ila april naanza mradi wa kuku nataka kuanza na kuku 500 kama inalipa natupa kule ajira,pia nilianza na mtaji wa nguo wa laki na nusu now umekua kwa miezi 3 mpaka mpaka laki 6 japo sina frem ila ntajipanga kuchukua frame na kuendelea kutembeza maofisini ukiniona kama chizi navyochangamkia watu maofisini mwao ili niuze nguo.
Mleta mada mi ni classmate wake nachouliza hujawahi kufanya kazi popote toka umalize chuo?
Jamani biashara mkombozi wetu hata huko maofisini mishahara mbuzi sana ndani ya miaka 2 nimeshafanya sehemu 3 na zote nimezipiga chini hii ya 4 nayo nkiipiga chini najikita kwa biashara.

Sawia Amu,anaweza kuwa hawezi au anaamini katika kazi,nimemshauri sabab hawezi jua hiyo kazi atachukua miaka mingapi kuipata. Hivyo ni vyema atafute visenti vya kumweka mjini. Si graduate wote wanaweza kujiajiri kulingana na mentality zao.
Lazima tubadilike
 
Sasa mtuambie nyie wasomi wakubwa.
Je kunahaja ya wote tung`ang`anie kwenda chuo kikuu?hatuoni ni muda sasa wa kubadilika na kwenda Vocational Training Institutes?

Maana hivi karibu nikwenda pale SIDO nikakuta kuna kinamama na kina baba wao shule hakuna ila wapo kwenye Kozi ya miezi miwili ya uzalishaji bora wa asali na packaging.

Ila kila mmoja nlivyomdadisi ana nyumba na ana watoto mpaka chuo.Hao watoto wakimaliza nao wanakuja kumuomba mama pesa ya mataumizi,hapo vipi !
Au ndio vyuo vyetu Elimu yetu ya Vyuo vikuu ni ya mtihani tu na si kumuandaa mtu kimaisha?au ndio kutaka mishahara mikubwa kwa kujiona umemaliza chuo?ni mtizamo wangu tu wajameni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom