dah!!! kama una mtu wa kukushika mkono imekula kwako ndugu yangu
Heshima wakuu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu natafuta nafasi ya kazi au ya kuvolunteer. Ni msichana, nipo Dar. Kwa anayeweza kunisaidia aniPM tafadhali. Shukrani sana.
sidhani kama ni sahihi kutafuta kazi kwa style hii
Kama bado nakushaur jiandikishe uanze kufanya mitian ya nbaa while unaendelea kutafuta kaz
Bahati mbaya natoka kwenye familia duni, mpaka kumaliza hiyo degree mungu ndo ajuaye nlopitia, kwa hiyo hata hilo halitawezekana mpaka ntakapojiweza mwenyewe.
Pole...am sure it's just a matter of time utapata...pccb uliaply?
Aisee,pole sana,binafsi nina degree ya accnts nimemaliza mwaka jana,baada ya kusota nimejiajiri nilikw na laki 5,nilifuga kuku wa kisasa,kwa sasa nina kuku 683,pia nina nimefungua pub naonyesha mpira na kuuza vinywaji.
Nakushauri wakati unatafuta kazi fanya biziness hata ya nguo,chukua kkoo wapelekee masistaduu vyuoni ili uwe unapata hata hela ya kufanya hizo application na nauli za kwenda ktk enterview.
Jitume dada huku unatafuta kazi,jichanganye mjini hapa.

Thankx for clarification binafsi nimeajiriwa ila april naanza mradi wa kuku nataka kuanza na kuku 500 kama inalipa natupa kule ajira,pia nilianza na mtaji wa nguo wa laki na nusu now umekua kwa miezi 3 mpaka mpaka laki 6 japo sina frem ila ntajipanga kuchukua frame na kuendelea kutembeza maofisini ukiniona kama chizi navyochangamkia watu maofisini mwao ili niuze nguo.
Mleta mada mi ni classmate wake nachouliza hujawahi kufanya kazi popote toka umalize chuo?
Jamani biashara mkombozi wetu hata huko maofisini mishahara mbuzi sana ndani ya miaka 2 nimeshafanya sehemu 3 na zote nimezipiga chini hii ya 4 nayo nkiipiga chini najikita kwa biashara.