BAC VS BAF

ommy clear

JF-Expert Member
May 26, 2018
214
57
Sorry waungwana naomba ushauri kati ya bachelor of accountancy na bachelor of accounting and finance ipi kati ya hizo iko poa zaidi. mawazo yenu ni muhimu kwangu ahsanten
 
ile kusoma uzi nkajua kuna mechi ya hao jamaa


ila bapo BAF anashinda tena iwe mzumbe
 
BAF ni multi purpose
Kama mvivu soma BAC coz mzigo wa kozi kwa semester unapungua....few options
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom