Baby Powder yaweza kusababisha saratani/cancer

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,630
2,458
Kampuni ya Johnson & Johnson inayotengeneza Baby Powder imepoteza kesi ya $55 millioni baada ya kushitakiwa na mwanamke aliyepata sarakani ya ovari aliyodai imetokana na matumizi yake ya baby powder.

Hii ni kesi ya pili Johnson & Johnson iliyopoteza ya Baby Powder kusababisha saratani. Kampuni hiyo inakabiliwa na kesi zaidi ya 1,200 za madai kama hayo.

Source: Johnson & Johnson loses another court case over talcum powder and cancer

5408.jpg
 
Mods correction kwenye title spelling ya saratani
 
Back
Top Bottom