Baby madaha"tarehe 22 dec pale golden tulip nitamuonesha diamond mimi ni nani"

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000

"Tarehe 22 Jumapili Disemba mwaka huu pale Golden Tulip nitamuonyesha Diamond,kuwa Queen of Swagg ni nani,ambapo yeye alizindua Single moja ya ngololo pale Serena mimi ninazindua single 4 moja ikiwa ni Soundtrack na Movie yangu mpya ya the Galbladder, iliyonigarimu mamilioni kuitengeneza nje ya nchi,huku show nzima ikidhaminiwa na Heinekein ambao pia ndiyo wadhamini wa lebo ya Candy& candy ya jijini Nairobi, huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa kiongozi mzito kutoka Ikulu ya Rais Kikwete pale Magogoni jijini Dar es Salaam"alisema Baby Madaha
 

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Mbna diamond hamkauki mdomoni uyu mwanamke..khah,DIAMOND PLS MGEGEDE ANAHITAJ MSAADA WAKO
 

agristeph

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
213
250
One might be thinking Baby Madaha is obsessed with Diamond.
..but as far as showbiz is concerned,she's practicing her marketing and promotion strategy!

CME(Call Me Etienne)
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,415
2,000
Nilijua tu... Hii issue demu anatafuta Kick.. Sasa ALmasi akikaa na kuanza kubishana na huyu nitamuona wa ajabu
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,933
2,000
Poor focus!

Mtaishia kuoneshana hapa hapa bongo!

Siku nyingine ukatafute kick kwa mwanamke mwenzio kama beyonce & lady gaga
 

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,230
2,000
Kama wamekubaliana for promo only itakuwa poa coz usanii ni ajira so diamond amjibu pls ili apate kick kama ilivyo kwa kanye na 50,ndo maisha yalivyo hivyo.
 

Free ideas

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
3,171
2,000
jina la mov baya,mtu wa shinyaga bariadi ataelewa nn akiisoma hiyo title??,afu mbona hizo single nne sijui hata moja,.we dada fanya yako huyo dogo humpati leo ameshakuacha mbali sana.huon wakubwa zako wametulia akina jay wamekubali.kampe nature hiyo kitu apige si ndo type yako
 

theki

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,724
1,195
daimond,daimond,daimond weeeeeeee.afanye yake sasa.au hana hbr mwenzake alivyo...........sasa hivi kimyaaaaaa.:tape::tape:
 

white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Bibi madahaa lol Diamond anakunyima usingiz pole dadaa
Cha kufanya mng'ang'anie Diamond awe mpenzi wako utapata raha sanaa maana kila siku utaandikwa kwenye magazeti ya udaku utaitwa kuhojiwaa channel mbalimbali halaf uanze kumtukana na Wema Sepetu watu watakufahamujeew
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom