Baby Madaha anapika na kupakua nyumbani kwa Juma Nature Mbagala

Status
Not open for further replies.

bluetooth23

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
348
324
Habari zilizothibitishwa na Juma Nature mwenyewe na pia katka blog ya Sintah mpenz wa Nature wa zamani ni kuwa mwanamuziki na msanii wa maigzo Baby Joseph Madaha ni mwezi sasa anapika na kupakua nyumbani kwa Juma Kassimu Kiroboto a.k.a Juma Nature. Uhusiano huo umeripotiwa kuwa wa kimapenzi na c vngnevyo. Juma Nature ambaye mwezi wa 5 ameripotiwa kupewa M kadhaa na mkuu wa kaya kama asante kwa kuwashawish vijana kumchagua, aliachana na wife wake wa ndoa miez kadhaa sasa na hvyo Baby Madaha kukava namba vilivyo. Kaz kwel kwel
 
Bongo Fleva, Bongo Movie hakuna Mme wala Mke, Usijifu umepata mke au mume kutoka katika fani hizo umeliwaaaa. Nadhani walioweza ni Marlaw na Besta na labda H Baba sijui.
Namsikitikia Penny wa Diamond, ni bora angetafuta Mwanahabari mwenzie
 
Dooh si angeajiri chef au maid.............mapenzi haya ya pika pakua au kumfulia BF siyataki. BF akale kwa mamake, nitampikia akiwa mume wangu kwa mujibu napikia familia yangu au baba watoto.
 
maisha ya kupika na kupakua NO way!!!!!!

Nature kwa raha zake akirudi kwenye show
anakuta bidada aneshakorofisha futari

2Q==
 
Ulitaka apike afu akiche kwenye sufuria au amwage?
Chakula kikipikwa lazima kipakuliwe ili kiliwe
 
Duuuh kazi ipo ..................... kwahiyo kafata hizo M kadhaa alizopewa Nature au nini?
 
#Teamumbea tuko kazini, hii habari kila viewer amecomment. Baby madaha naskia ni kibajaji a.k.a zoa zoa, hakichagui abiria. Msuto sunna

Mbaya zaidi akipata maji yaliyokuwa yanatoka hasa zamani Ilala siku hizi wanatengeneza sehemu nyingi....mkimsalimia tu na akaona unazo kwa kuangalia tu basi amekuganda
 
Mbaya zaidi akipata maji yaliyokuwa yanatoka hasa zamani Ilala siku hizi wanatengeneza sehemu nyingi....mkimsalimia tu na akaona unazo kwa kuangalia tu basi amekuganda

Hahahah duhh kaaaaz kweli kweli, yani maja ya dhahabu yanamfanya akodishe kibajaji chake?
 
Habari zilizothibitishwa na Juma Nature mwenyewe na pia katka blog ya Sintah mpenz wa Nature wa zamani ni kuwa mwanamuziki na msanii wa maigzo Baby Joseph Madaha ni mwezi sasa anapika na kupakua nyumbani kwa Juma Kassimu Kiroboto a.k.a Juma Nature. Uhusiano huo umeripotiwa kuwa wa kimapenzi na c vngnevyo. Juma Nature ambaye mwezi wa 5 ameripotiwa kupewa M kadhaa na mkuu wa kaya kama asante kwa kuwashawish vijana kumchagua, aliachana na wife wake wa ndoa miez kadhaa sasa na hvyo Baby Madaha kukava namba vilivyo. Kaz kwel kwel

kwa hiyo ameenda kupindua nyumba huyu baby madaha?
Asubiri na yeye aje pinduliwa.
Vibweka kila uchwao
 
Single tuko wengi humu ndani
Dooh si angeajiri chef au maid.............mapenzi haya ya pika pakua au kumfulia BF siyataki. BF akale kwa mamake, nitampikia akiwa mume wangu kwa mujibu napikia familia yangu au baba watoto.
 
Ampikia bwana mapochopocho ya Ramadhan

Alimuoa lakini..? Maana kwa mujibu wa taratibu za dini ya kiislam hutakiwa kuishi na hawara.. na kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan ndio kabisa hatakiwi hata kusogelea kibaraza cha nyumba.. Ina maana kama hakuna ndoa basi na funga ya Ustaadh Juma itakuwa haiswihi au batili..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom