Baby Kabaye na Hassani Ngoma tambueni Chato haina Ikulu ndogo, Ikulu ipo Geita Mjini

Pale kwenye 360 hamna watangazaji kuna wapiga stori.

Sijafuatilia hicho kipindi chao ila Hassan Ngoma na Babie Kabaya naweza kusema kabisa kwa confidence hawajishughulishi kutafuta ukweli wa jambo kabla ya kulileta kwenye majadiliano

Kwa ushauri tu wajifunze kwa wenzao wa Power breakfast kama jambo ni kubwa (kama hilo la chato kuwa au kutokuwa na Ikulu) kuna namna wanaliacha hewani ili kulitafutia majibu ya uhakika. Hawafikii conclusion

Pia kwenye maongezi yao kwenye PB (maana clouds vipindi vyao vingi ni maongezi) wanajitahidi sana kuwatafuta wenye majibu ya uhakika (source of information) na angalau kuna uulizwaji mzuri wa maswali yasiyo na ushabiki kuliko huyo Hassan Ngoma waliyemuweka pale

Mi nadhani bora hata Sam Sassali kuliko Hassan Ngoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ukweli CLOUDS fm vipindi vyao Ni maongezi!✔️
 
Mkuu kwahiyo huyo Maza ni mtanzania ?
Sorry nilichanganya madesa, niliingia Twitter nikakuta picha ya Babie akiwa na Mama yake
waliomhoji alikataa kuwa Mama yake ni mzungu au mjerumani ni mbongo pure
wala sio msomali
maadili yangu si vizuri kuhamisha picha hizo kwani tangu awali simshabikii mtu na hasa kati ya hawa
 
Kwa tabia ya jamaa hii itakuwa mnampigia kampeni Pascal bila kujijua na Pascal naye anapenda sana ila anajifanyaga eti hataki huku akijua kuwa chapuo za mtindo huu ndio yeye hufanya kweli yaani kile msichokipenda yeye penda sana, msishangae kesho Pascal anaenda ziba nafasi kule Mtwara kwa formula ileile ya Mwigulu
 
Siko hapa kusema ni makosa kwa JPM ama yupo sahihi? Ila naunga mkono hoja kuwa hao wamepotosha Rais akiwa home au kwa mchepuko haihesabiki kama Ikulu bali yupo nje ya ofisi.
Zitto nimekuelewa na naamini pale ni nyumbani kwake ambapo ataendelea kuishi na familia, ukoo na ndugu maisha yake yote, (Isipokuwa FIESTA au wengine wasiingie mpaka atakapomaliza muda wa madaraka)
nikaweka mfano popote alipo Rais anaweza kufanya kazi zake na zikapokelewa km amri Nikatoa mfano wa Airforce one Rais wetu anaongozana na wote km Makatibu na waandishi anamalizia hapo hapo
Basi ni kweli sheria inakataa asifanye kazi za Kikatiba nje ya Ikulu, kwani Chato ni nyumbani,
(sasa nani amfunge paka kengele)
  • Leo kina CLOUDS 360 wametuonesha jamaa wa Raggie akimsifia Mkuu kwa maamuzi yake ya papai
  • Mtoto wa Mohamedi Ally kamsikia akiwa Chato
  • Mkuu akiwa Chato amewaamuru wakopeshaji wakubwa kufuta madeni yote kwa Nchi zinazoedelea na wamemsikia
  • nimesikia USA wameshaanza kushurutisha WB kufuta, wenzetu Kenya wameongezewa licha ya China kumdai na kuambukiza COVID
Nakubali hawa watangazaji wamepotoka waondoe neno Chato ni Ikulu
 
Back
Top Bottom