tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,671
- 19,186
Gambe sana mpka linamzeesha
Gambe sana mpka linamzeesha
Jamaa anasugua gambe balaa
Mkuu ndivyo inavyoandikwa ww tu na macho yakoBabra sio Barbara
Ngoja waje Clouds wakusaidie, ila Sam Sasali yupo redio anasoma magazeti power breakfast.
Babra Hasan naye hajarudi power break fast.
wewe ndie umekosea,ni BarbaraBabra sio Barbara
Pombe yupi ?
"venye ako" ndio umeongea nini hapa.?Baby kabae Yuko poa ..venye ako na mvuto hata wasuk.....wanaangalia 360 kwasababu yake
AiseeJitu lenyewe zee lakini linajibebisha tu