Babuu, FURSA umeitumia vyema, Shavu dodo!!

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Jun 9, 2010
1,032
759
Babu wa Loliondo.jpg

Babu wa Loliondo, Ambilikile Mwasapile
 
chezeya pesa. wazee wote msikate tamaa za maisha ata kama uko mzee unaweza kuwa bilionea ata uzeeni.
muwe wabunifu tu mtumie fursa
 
Dah hii inamaanisha wazee wetu bado ni vijana ila sura zimechoka 7bu ya maisha magumu, just muone babu kawa kijana, jaman tuwakumbukage wazaz wetu vijijin
 
Back
Top Bottom