Babu wa samunge hana sifa ya kushitakiwa?

rrm72

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
508
299
Habari wana JF,
Napenda kujulishwa yafuatayo,
Hivi kikombe cha babu wa samunge bado kinaendelea?
Kati ya mamia, kama si maefu ya waliokunywa ile kitu, kuna takwimu za waliopona (Ukimwa wangapi?, Kanza wangapi?, TB wangapi?, kisukari wangapi?)
Kama hakipo tena na hakuna taaria za kitakwim za waliopona, huyu babu si ashitakiwe mahakama ya mafisadi
 
Sina uhakika kama kuna aliyepona ila list yangu ya waliofariki baada ya kunywa hicho kikombe ni ndefu
 
Ivi mtu akienda kwa mganga labda anaumwa na asipone huwa mganga anashtakiwa?

Babu wa samunge alifanya uganga kama waganga wengine

Kuna mtu alilazimisha watu kwenda kule? Kilichoshawishi watu kumwagika kule ni background ya kichungaji aliyokuwa nayo
 
Kushitakiwa inawezekana kwa sababu huyo mzee aliaminisha watu kuwa magonjwa sugu yote yanatibika ivo kutokana kwamba watu wengi walikuwa wakisumbuliwa na magonjwa ya namna hiyo waliamua kwenda kupata dozi hiyo wakiwa na imani kuwa watapona ila cha kushangaza badala yake baadhi ya wagonjwa walotumia hiyo dawa walikufa, ivo mzee huyo anaweza kushitakiwa kwa kosa la kuua kwani badala ya dawa yake kuponya ilifanya watu wageuke wafu
 
Back
Top Bottom