Babu wa Man U alikua mchawi?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,050
14,930
Wadau najua hapa nagusa hisia za watu ila si vibaya nikihoji kidogo juu ya hili,tangu babu wa man u aondoke hii timu imekua inasuasua kidogo na hata yale makeke ya enzi zile ya kusawazisha dakika za majeruhi na ushindi juu hazionekani tena..sasa kulikua na tetesi kwamba yule mzee(nimemsahau jina) alikua na pete ambayo wengi walisema ndio ndumba... Sasa tuamini kwamba babu kocha alikua mchawi? Maana hii timu hata ilikua ikipigwa 3 bila dakika za 80 inarudisha na kukutwanga cha ushindi..au tatizo ninini ati..
 
Most things that we think about are the everyday objects and events that make up our daily lives
 
Wadau najua hapa nagusa hisia za watu ila si vibaya nikihoji kidogo juu ya hili,tangu babu wa man u aondoke hii timu imekua inasuasua kidogo na hata yale makeke ya enzi zile ya kusawazisha dakika za majeruhi na ushindi juu hazionekani tena..sasa kulikua na tetesi kwamba yule mzee(nimemsahau jina) alikua na pete ambayo wengi walisema ndio ndumba... Sasa tuamini kwamba babu kocha alikua mchawi? Maana hii timu hata ilikua ikipigwa 3 bila dakika za 80 inarudisha na kukutwanga cha ushindi..au tatizo ninini ati..

Soka la kichawi peleka yanga mkuu man u wamechoka kiujumla
 
Mkuu kinachonishangaza iweje wachoke ghafla baada ya babu kuondoka... Au wamechoka kisaikolojia tu

Ha ha ha ni saikolojia mkuu sasa hivi watabakia sisi zamani hamna cha zamani tunataka leo mkuu
 
Wadau najua hapa nagusa hisia za watu ila si vibaya nikihoji kidogo juu ya hili,tangu babu wa man u aondoke hii timu imekua inasuasua kidogo na hata yale makeke ya enzi zile ya kusawazisha dakika za majeruhi na ushindi juu hazionekani tena..sasa kulikua na tetesi kwamba yule mzee(nimemsahau jina) alikua na pete ambayo wengi walisema ndio ndumba... Sasa tuamini kwamba babu kocha alikua mchawi? Maana hii timu hata ilikua ikipigwa 3 bila dakika za 80 inarudisha na kukutwanga cha ushindi..au tatizo ninini ati..

Ama kweli wewe humpendi huyo babu,sidhani kama ni kweli umemsahau jina iwapo ulikuwa mfatiliaji wa mpira wa miguu.
 
January itambidi asajiri hasa beki ya kati,kiungo,kwa kweli timu inapwaya sana,watu wa man u hatukuzoea maisha haya,tunapata tabu tubu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom