Babu wa Loliondo: Sihitaji mwanamke tena, sina mwanamke tangu mwaka 2009

Wengi wamekufa wale wenye magonjwa yasiyohitaji uache dawa kama HIV na DIABETES ni wengi mnooo roho za hawa watu zitamkimbiza arudi kuwatesa ndugu zake.
Jambo hilo alilijibu akasema mbona hata hospitalini watu wanakufa na akasema hata kwenye maospitali makubwa kuna Mortuary kwa sababu ya vifo vya watu
 
Mzee alipiga hela ndefu sana kwa interview alifanyiwa juzi ameonyesha nyumba yake aliyojenga pamoja na magari matatu ikiwepo Fuso na Land Cruiser in short yuko vizuri na bado anapata Wateja ( wachache ) kutoka njee ya nchi
Pleased to know walahi
Ukiwa focused hakuna kitu kitakacho kushinda walahi
Hapa anajua kuokota wanawake watampunguzia focus yake kwa jambo ambalo analifanya walahi
Big up babu wallh
 
Back
Top Bottom