Babu wa Loliondo: Sihitaji mwanamke tena, sina mwanamke tangu mwaka 2009

Mch Ambilikile Mwasapile (BABU WA LOLIONDO) aliyewakusanya watu wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani kutokana na kuuza kikombe cha dawa inayotibu magonjwa mbalimbali.

Ameongea kwa mara ya kwanza na AyoTV na millardayo.com nakusema hajawahi kutembea na mwanamke yeyote tangu mwaka 2009 baaada ya mke wake kufariki.
 
Lightning doesn't strike the same place twice, muda wake umepita. Apambane na hali yake.
Kuna interview alifanyiwa juzi na Ayo TV lakini sasa hivi wameiondoa (YouTube) lakini kwamujibu wa babu amesema yupo na anaendelea kufanya kazi ya kuwapa watu TIBA ya kikombe lakini watu wamepungua sana kwasababu amezushiwa kuwa amekufa
 
Hiyo dawa yake inatibu nini kwa sasa? Maana wengi wa waliokunywa kikombe chake wenye matatizo konki wameshatangulia kwa mungu kwa kukosa maarifa.
 
Kuna interview alifanyiwa juzi na Ayo TV lakini sasa hivi wameiondoa (YouTube) lakini kwamujibu wa babu amesema yupo na anaendelea kufanya kazi ya kuwapa watu TIBA ya kikombe lakini watu wamepungua sana kwasababu amezushiwa kuwa amekufa
Kama alishindwa kubutua kipindi kile ndo ntolee hivyo.
 
Swafiiii sana walahi
Mzee alipiga hela ndefu sana kwa interview alifanyiwa juzi ameonyesha nyumba yake aliyojenga pamoja na magari matatu ikiwepo Fuso na Land Cruiser in short yuko vizuri na bado anapata Wateja ( wachache ) kutoka njee ya nchi
 
Back
Top Bottom