Babu wa Loliondo kuwaliza tena wadanganyika?

UPDATE: Juzi Temeweka Hii Post Kuhusu Tukio Kubwa Linalokuja, Leo Janga la Meli Kuzama Zanzibar... 1+1=2...

Wanajamvini, tunapenda kuendelea kuwajuza mtiririko wa njama chafu za TISS. Mpango mzima ni kuanzisha kitu ambacho kitawafanya watanzania walekezo mawazo yao kwenye tukio mpya kwani ni wepesi wa kusahau huku serikali ikijipanga. Hii ni kutokana na serikali kuwa kwenye hali mbaya; kuchukiwa na wananchi kutokana na kitendo cha kumteka na kumtesa Dr. Ulimboka. Kwa hiyo TISS wanapanga mambo yafuatayo.

  • Kumpoteza Dr. Ulimboka moja kwa moja. Either kumshawishi asirudi nchini, kummaliza au kumpa hela au cheo kikubwa ili akirudi asiweze kuongea chochote na hata pia kuwasaliti madaktari wenzake. Tayari kuna wanausalama kutoka nchi moja kusini mwa Afrika inayoisaidia TISS kuunda hizi njama. Waliowekwa kushugulikia maswla ya ulimboka ni majasusi wabaya hasa ndani ya TISS. Baadhi yao ni madaktari wakongwe. Yaani ni watu wenye uzoefu mkubwa mno
  • Kuna gesi/chemical ambayo anaweza kupuliziwa asiweze kukumbuka chochote pale watakapofanikiwa kumfikia. hii itatumika pale watakapoona kwamba kummaliza kunaweza kuwaangusha kutoka madarakani
  • Kwa vile watanzania ni wepesi kusahau, kuna mkakati wa kuanzisha kitu kama Babu Wa loliondo kuelekeza akili za watu huko huku serikali ikijipanga
    [*]Mpango wa kuwasingizia majambazi sugu pamoja na mchina bado huko pale pale.
    [*]Wanajaribu kupanga namna ya kuwausisha viongozi wa Upinzani na uchochezi au maafa ya raia, kiongozi ili vurugu zianze huku chama cha upinzani kikibebeshwa mzingo

Kwa hiyo wazalendo, kaeni mkao wa kula. Msidanganyike, chochote kikitokea siku za hapa karibuni.
 
khaaaaaaaaaaaa! mi nikisikia hivi natamani kuona 2015 inafika! sijui ndio itakuwa mwisho wa movie, au mwanzo wa episode nyingine! hii nchi hii! ila kikwete yule baba cjui kama kichwa chake kinafikiri vema, ni JANGA KUBWA LA KITAIFA! thanx CCM-MAMA, ubarikiwe!
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvini, tunapenda kuendelea kuwajuza mtiririko wa njama chafu za TISS. Mpango mzima ni kuanzisha kitu ambacho kitawafanya watanzania walekezo mawazo yao kwenye tukio mpya kwani ni wepesi wa kusahau huku serikali ikijipanga. Hii ni kutokana na serikali kuwa kwenye hali mbaya; kuchukiwa na wananchi kutokana na kitendo cha kumteka na kumtesa Dr. Ulimboka. Kwa hiyo TISS wanapanga mambo yafuatayo.

  • Kumpoteza Dr. Ulimboka moja kwa moja. Either kumshawishi asirudi nchini, kummaliza au kumpa hela au cheo kikubwa ili akirudi asiweze kuongea chochote na hata pia kuwasaliti madaktari wenzake. Tayari kuna wanausalama kutoka nchi moja kusini mwa Afrika inayoisaidia TISS kuunda hizi njama. Waliowekwa kushugulikia maswla ya ulimboka ni majasusi wabaya hasa ndani ya TISS. Baadhi yao ni madaktari wakongwe. Yaani ni watu wenye uzoefu mkubwa mno
  • Kuna gesi/chemical ambayo anaweza kupuliziwa asiweze kukumbuka chochote pale watakapofanikiwa kumfikia. hii itatumika pale watakapoona kwamba kummaliza kunaweza kuwaangusha kutoka madarakani
  • Kwa vile watanzania ni wepesi kusahau, kuna mkakati wa kuanzisha kitu kama Babu Wa loliondo kuelekeza akili za watu huko huku serikali ikijipanga
    [*]Mpango wa kuwasingizia majambazi sugu pamoja na mchina bado huko pale pale.
    [*]Wanajaribu kupanga namna ya kuwausisha viongozi wa Upinzani na uchochezi au maafa ya raia, kiongozi ili vurugu zianze huku chama cha upinzani kikibebeshwa mzingo

Kwa hiyo wazalendo, kaeni mkao wa kula. Msidanganyike, chochote kikitokea siku za hapa karibuni. Mjue ni mchezo wa TISS, Ikulu na polisi…….Tuna wazalendo ndani ya TISS kwa hiyo msiwe na shaka tutamwaga hadharani kila jaribio watakao endelea kupanga. Tupo wengi tunaotaka mabadiliko. Hata ndani ya TISS 80% wanahitaji mabadiliko kwenye uongozi.
hapo kwenye blue nimepazingatia sana,,,,,simaanish kama nime-ignore the rest
 
Someni Update ya hii post.Serikali Imebanwa, asilimia 90% kuna mkono wa mtu kuzama meli Zanzibar kuwaokoa Kova na Msangi pamoja na serikali nzima.......
 
Uzi huu umewekwa na mtu sober? au ni dengelua linafanya kazi? Vihadhithi vyako vya James Bond Usivilete kwa great thinkers. Peleka Vijiwe vya Kahawa.
 
Hii story inaweza kuwa na ukweli ndani yake na Hii strategies inatumika katika Nchi nyingi sana, KAMA MTAKUMBUKA WAKATI WA KASHFA YA BILL CLINTON NA MONICA Marekani walitumia sana hii strategies make kipindi hicho Dunia nzima na wamarekani waote mjadala ulikuwa kuhusu hiyo kashfa na Vyombo vyote vya Habari vya Marekani ndo ilikuwa habari, WALICHO FANYA WATAWALA WA USA ILI KUPUNGUZA MJADALA WA CLINTON, Walipiga Mabomu Sudani na Pakstani kisa kusaka Magaidi na kwa SUDANI kama mnakumbuka Makombora yalitua kwenye Kiwanda cha Madawa na kukiharibu chote, HII YOTE ILIKUWA IKIFANYIKA ILI KUGEUZA MWELEKEO WA VICHWA VYA HABARI,
 
Ukiona chama tawala kinatumia ugaidi ujue kiko mbioni kuanguka

I second you mkuu....hata hapo jirani KANU walifanya same things...wakaishia kuleeeeeeee tukujuako! It is good news kwetu tunaoomba uongozi wa nchi hii utoke tuanze upya
 
Someni Update ya hii post.Serikali Imebanwa, asilimia 90% kuna mkono wa mtu kuzama meli Zanzibar kuwaokoa Kova na Msangi pamoja na serikali nzima.......

Kwa hiyo ili kuwaokoa Msangi na Kova serikali ikaamua kutengeneza upepo mkali.
Jamani ugreti thinka una matatizo.
 
wewe mwenyewe unatuhamisha akili zetu kutoka kwenye meli iliyozama na kutupeleka kwenye hadithi za abunwasi
 
Jf inaelekea kaburini siku hizi mtu anaweza kuja tu hapa na hadithi ya kutunga haina hata source ya kuaminika na kuimwaga na kuacha kila mtu akitukana kadri anavyoweza
 
Back
Top Bottom