Babu Topic Live sasa hivi ntv,uganda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babu Topic Live sasa hivi ntv,uganda.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by commonmwananchi, Mar 31, 2011.

 1. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,180
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Wana JF,babu masapila anazidi kupasua anga,sasa hivi ndio topic.kipindi ni "ON THE SPOT" (Loliondo magic cure) wenye nafasi ni wakati muafaka kuwasikia wasomi wa jirani zetu wana maoni gani. karibuni....
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mkuu tujuze yanayojiri huko, si wote wenye madishi tunashika channel ulizozitaja. Hoja ya msingi ye wanakubali tiba yake au wanaiponda? Sababu.
   
 3. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,180
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  wanaikubali kwa kiwango kikubwa.na zaidi walikuwa wanaishangaa miujiza ya mti ule anaouchemsha babu na binadamu wakaunywa bila kudhurika,kisayansi unathibitika kama ONE OF THE DEADLIEST PLANT na zaidi walijikita kuujadili mmea ule na miracle ya mzee masapila.
   
Loading...