Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,004
- 173,644
Kalegeza Voko kama sio mtoto wa Kiluguru bana😂😂😂Duh Mwanaume Mzima Unalegea Hivi jamaa duh Nimeona aibu sana...
Kalegeza Voko kama sio mtoto wa Kiluguru bana😂😂😂Duh Mwanaume Mzima Unalegea Hivi jamaa duh Nimeona aibu sana...
HahahahahKam hawezi kufua chupi zake si anunue mashine ya kufulia
Mhishimiwa atakuwa anagonga pampaz😂Debe tupu
😂😂😂😂😂Mhishimiwa atakuwa anagonga pampaz😂
Mimi ninachojua kusaidiana kupo ila kila mtu alifundishwa na mamake kufua hizo vitu😎Mie pia nakupenda ila siwezi fua chupi 😍!!! Vipi nije mama?
CONTROLA 😎😎Mnachoshangaa ni kipi na kumvua vyeo mwanaume aliekamilika?
Ajabu yeye kutojua kufua underwear au Ajabu kusema hajui kufua?
Underwear ni nguo kama nguo nyingine tofauti ni kwamba ndio nguo pekee ndogo kuliko zote tunazovaa mwilini mwetu.
sababu yakuitolea mfano ni kuonyesha jinsi gani hawezi kufua hata kitu kidogo kama underwear (jambo la kawaida kabisa)
ni kawaida kwasababu wapo wadada/wakaka sasa hivi wanavichupi vichafu wameviloweka kule bafuni,wapo watu wana nguo rundo la manguo lipo pale hawajafua.
kuna wadada/wakaka hata kupika chai tu hawawezi na nyie mnaona kawaida kabisa kwa aibu hiyo,kuna watu hapa ukimwambia akoroge uji tu asipoutoa mbichi,basi atauleta mezani una mabonge bonge (huo ni uji tu)
kila mtu ana vitu vyake ambavyo ni aibu hata kusema mbele za watu hawezi kufanya,watu kazi kujitia mnajua kusodoa sana wakati na nyie mna yenu.
kuna jitu saivi lipo JF ila hata kitanda hajatandika,shuka lililopo kitandani hii siku ya 4 hajabadilisha,nyie nanyie si mjiseme au kwakua hatujuani madhaifu yetu humu?
Kufua ni Kufua haijalishi ni vest,suruali,underwear sasa msisikie underwear maskio yakawasimamaaaa mbona wengine mnafua na nguo hazitakati bana,mna tofauti gani na asie fua?
mna vichupi mmevaa veusi twiiii,kuvaa chupi nyeupe tu mtihani maana mnajijua kwa uchafu na mnajua mkifua hamuwezi takatisha ndani ya wiki 1 tu chupi inageuka rangi ya kijivu wakati ilinunuliwa ikiwa nyeupe pee.
Ingekua anasema hajui kufua halafu anavaa boxer chafu asee mimi ningejiuzuru uanaume (japo pia ntakua na kiherehere maana hainihusu) lakini mtu kasema hajui kufua na hatujui hata stori ilianzia wapi mpk akasema hayo,tumedandia gari njiani halafu tunahukumu.
Mtu anavaa kitu kipya daily,shida iko wapi? watoto wanasoma,familia ina amani na baba anavaa boxer mpya kila siku shida iko wapi? mimi sioni shida ya tale ni haki yake kuongea lolote na chochote anaejiona kakamilika ajitaje hapa,ni nani huyo.
Bibie ile mambo vipi sasa?😂😂😂😂😂
Excuse me bruh, i am not in that categoryAhahahaha si ana mihela mtaenda kumfulia wapenda kuhongwa😝
Wengine unakuta kashafanya ya hovyo hovyo huko sasa mzuka unamrudia kama si msukuleHahahah unamuona mume anaongelea chupi zake chafu in public
Dunia inaenda kasi sana
Excuse my french 😍😝😊Excuse me bruh, i am not in that category
Mbunge CCM Babu Tale amekiri kuwa yeye huwa anavaa Underwear japo hawez kufua. Hii ndio dizaini ya wabunge wa CCM tulionao huku tukitegemea ndio watutungie sheria kwa uzwazwa huu
View attachment 1641576
1980s niliishi na familia ya ki Swedish, aisee sitasahau mama Yule kila Siku alihakikisha lazima ajiridhishe kila usiku nikioga lazima nifue panto.Mimi ninachojua kusaidiana kupo ila kila mtu alifundishwa na mamake kufua hizo vitu😎
Subiri kwanza...yule mama wa kiswedish alikuwa nani yako?Mama ako wa kufika au mke wako?1980s niliishi na familia ya ki Swedish, aisee sitasahau mama Yule kila Siku alihakikisha lazima ajiridhishe kila usiku nikioga lazima nifue panto.
Pantoo hata kama umeoa ukienda kuoga lazima ufue bana.
Nilikuwa naishi nao yeye na mumewe ni wazee,walinichukulia kama mwanawaoSubiri kwanza...yule mama wa kiswedish alikuwa nani yako?Mama ako wa kufika au mke wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hivyo ndivyo wamama tunavyolea watoto, sasa sijui huyu Tale yeye alilelewa wapi? Na nani alikua anamfulia pichu tangu anakua hadi anaoa....1980s niliishi na familia ya ki Swedish, aisee sitasahau mama Yule kila Siku alihakikisha lazima ajiridhishe kila usiku nikioga lazima nifue panto.
Pantoo hata kama umeoa ukienda kuoga lazima ufue bana.
Inawezekana alitoka katika familia bora chupi asubuhi unatupa chupi kwenye tenga LA nguo chafu HG apambane nazo.Na hivyo ndivyo wamama tunavyolea watoto, sasa sijui huyu Tale yeye alilelewa wapi? Na nani alikua anamfulia pichu tangu anakua hadi anaoa....
Hivi mama D Kijana anaanza kujinunulia chupi akiwa amefika umri gani?Mimi Huyo mama wakati huo nilikuwa teenager alikuwa kwenye manunuzi yake budget ya chupi alikuwa ananunua yeye.Na hivyo ndivyo wamama tunavyolea watoto, sasa sijui huyu Tale yeye alilelewa wapi? Na nani alikua anamfulia pichu tangu anakua hadi anaoa....
Babu Tale na Mwana FA kama sikosei wamepita bila kupingwa, meaning nje na ndani ya CCM hakukuwa na watu formidable wa kuwa challenge.Mitano tenaaaaa.
Nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuu.